Shinyanga: Mchungaji aliyeshtakiwa kwa kujaribu kulawiti mtoto afikishwa mahakamani

Shinyanga: Mchungaji aliyeshtakiwa kwa kujaribu kulawiti mtoto afikishwa mahakamani

Sijaelewa hapo "alijaribu kumlawiti" so hakufanikiwa au?.Mungu tulindie vizazi vyetu
 
Huu uzi anatakiwa auone pia Bi Mkubwa FaizaFoxy kwa ajili ya rejea yake siku zijazo.

Natambua ametingwa sana na majukumu yake kama mama/bibi/Kiongozi. Lakini rejea hii itamsaidia sana, hata kama huyo Mchungaji siyo Padre wa Kanisa Katoliki.
Sio yey tu,kuna weng tu humu wanajifny kuuchun ila wangefany wanawaona wapinzan wao pasingekalika humu
 
Hili Jina kama la mtu mmoja alikuwaga BARIADI naye alikuwa na tabia kama hizi..........!
 
kuna mkono wa ibilisi hapo sio bure.
Angekua Shekhe au Ostadh hapo hakuna ibilisi yeye sio mwanadamu na watu wangekuwa kutoa povu dhidi ya Uislamu ila kwa vile upande huu basi mambo safi kabisa.
 
Hili Jina kama la mtu mmoja alikuwaga BARIADI naye alikuwa na tabia kama hizi..........!
Huyo huyo! Alitokea Bariadi. Na inasemekana hata huko alipata tuhuma hizo!
IMG-20220830-WA0001.jpg
 
Wanawake wote wa kumwaga wa sasa Mchungaji unataka kwenda kubaka mtoto. Si kujidhalilisha na kudharirisha huduma. Si bora ungewaambia waumini kuwa unatakiwa kusafiri then unaenda Shinyanga Mjini. Unajiokotea barmaid wako mmoja unamaliza shida zako na unarudi kuendelea na huduma na sio kubaka mtoto. Ashauriwe aoe huyo ili kupunguza nyege kama anashindwa kujitunza na kujizuia.
Huyu ni MCHINJAJI, SIYO MCHUNGAJI. Hayupo Mchungaji popote pale duninani mwenye tabia za aina hii. Kuna wachungaji na kuna wachinjaji pia
 
Ndugu yangu haya mambo ya ubakaji iwe kwa shekhe padre au mchungaji na hata hawa wanafunzi na wanaume walio kwenye ndoa hayo mambo mda mwingine ni visasi unategeshewa mtoto anakuja hata kwako mda ambao hakuna mtu basi shuhuli imeisha hapo hayo mambo sio ya kuyaamini sana dunia ya sasa imebadilika watu wanaishi na visasi.
Kuna jamaa siku hiyo anarudi kwake km kadhaa kufika kwake akawaona watoto wa jirani na anapoishi wanatokea shule na jua linawachapa,kiupendo tu akawapa lift hadi mtaani kwao,kumbe vile vitoto vililawitiwa ile siku,kufika kwao si wakagunduliwa,mtuhumiwa wa kwanza jamaa alieonekana anawashusha kwenye gari!dunia hii sometimes its not fair
 
Ndugu yangu haya mambo ya ubakaji iwe kwa shekhe padre au mchungaji na hata hawa wanafunzi na wanaume walio kwenye ndoa hayo mambo mda mwingine ni visasi unategeshewa mtoto anakuja hata kwako mda ambao hakuna mtu basi shuhuli imeisha hapo hayo mambo sio ya kuyaamini sana dunia ya sasa imebadilika watu wanaishi na visasi.
Wanaoshabikia hayajawakuta wangojee waingie kwenye migogoro na wenza wao au wadeni wao ndipo watujua hili linatendwaje!
 
Back
Top Bottom