Shinyanga: Mchungaji aliyeshtakiwa kwa kujaribu kulawiti mtoto afikishwa mahakamani

Sijaelewa hapo "alijaribu kumlawiti" so hakufanikiwa au?.Mungu tulindie vizazi vyetu
 
Huu uzi anatakiwa auone pia Bi Mkubwa FaizaFoxy kwa ajili ya rejea yake siku zijazo.

Natambua ametingwa sana na majukumu yake kama mama/bibi/Kiongozi. Lakini rejea hii itamsaidia sana, hata kama huyo Mchungaji siyo Padre wa Kanisa Katoliki.
Sio yey tu,kuna weng tu humu wanajifny kuuchun ila wangefany wanawaona wapinzan wao pasingekalika humu
 
Hili Jina kama la mtu mmoja alikuwaga BARIADI naye alikuwa na tabia kama hizi..........!
 
kuna mkono wa ibilisi hapo sio bure.
Angekua Shekhe au Ostadh hapo hakuna ibilisi yeye sio mwanadamu na watu wangekuwa kutoa povu dhidi ya Uislamu ila kwa vile upande huu basi mambo safi kabisa.
 
Huyu ni MCHINJAJI, SIYO MCHUNGAJI. Hayupo Mchungaji popote pale duninani mwenye tabia za aina hii. Kuna wachungaji na kuna wachinjaji pia
 
Kuna jamaa siku hiyo anarudi kwake km kadhaa kufika kwake akawaona watoto wa jirani na anapoishi wanatokea shule na jua linawachapa,kiupendo tu akawapa lift hadi mtaani kwao,kumbe vile vitoto vililawitiwa ile siku,kufika kwao si wakagunduliwa,mtuhumiwa wa kwanza jamaa alieonekana anawashusha kwenye gari!dunia hii sometimes its not fair
 
Wanaoshabikia hayajawakuta wangojee waingie kwenye migogoro na wenza wao au wadeni wao ndipo watujua hili linatendwaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…