Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
Anaandika kiongozi mwandamizi Mkoa wa Shinyanga.
"Habari za Usikuu wajumbe wa Mkoa wa Shinyanga na Kahama
Ugeni wetu umeingia tayari Ukiongozwa na Kaka yetu Sauti na Dada yetu Gimbi Massaba ambae ni mke wa kaka Wenje,
Tayari leo wamefika Viunga vya Kahama na wameanza Mipango ya Kukutana na wajumbe.
Makubaliano ni yale yale, SAUT na GIMBI wahakikishe wamewakatia 1M ya Kila mjumbe kama mzigo walivyopewa.
Msisahau Kazi yenu wajumbe ni Kula Machame na Kulala Ikungi.
Mungu awabariki sana Mkoa wa Shinyanga na Kahama mmejua kunifurahisha na kuwanyoosha .
Audio Clip zao tutaanza Kuzitoa baada ya Mwaka Mpya.
Good Job Watu wangu wa Nguvu.
Mkoa wa Shinyanga wajumbe wamekula yamini/Kiapo cha Utii Kukilinda chama Chao kwa gharama hata ikibidi ya Uhai wao,
Karibu sana kaka SAUTI ila kua makini sana unaweza Kupoteza ata huo Ujumbe wa kamati Kuu unaogombea ambao sisi
Mkoa wa Shy tuliokua tunakufikilia fikilia,
Dada Gimbi wamekupa kazi ngumu ya Kumuuza Mwamba hutaweza kwani hauziki tena,
Tunakuheshimu na tunajua wewe na SAUT mmeletwa Shinyanga na Kahama kwa kwa sababu wanajua tunawaamini.
Tunaomba kuwahakikishia kazi hii ngumu mmepewa pigeni hela mtembee,
Muhimu sana Fungu letu la 1M ya Kila mjumbe muliache maana ni haki yetu kutoka kwa Abdul
Asanteni sana Mkoa Shinyanga kwa kukihami chama chetu dhidi ya wasaliti hawa"
Mwisho wa kunukuu lakini labda tujikumbushe kidogo maneno ya Muasisi wa Taifa hili aliwahi kusema yafuatayo,
""Lazima tujiuluze Mtanzania wa leo hawezi kuwanunua hivi hivi watanzania wenzake kabla ya yeye kwanza kununuliwa, kama hakununuliwa amezipata wapi huyu?, kama kanunuliwa atalipa nini kwao? Kama kaomba atazirudishaje?, kama amezikopa atazlilipaje? "