RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Usiseme Mbowe, sema Ayatollah a.k.a SULTAN au ukipenda mwite MSEVEN wa MACHAME.Umejiunga 25/12/2024 post zako zote ni kumzushia uongo Mbowe na kumpamba Lissu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiseme Mbowe, sema Ayatollah a.k.a SULTAN au ukipenda mwite MSEVEN wa MACHAME.Umejiunga 25/12/2024 post zako zote ni kumzushia uongo Mbowe na kumpamba Lissu.
Team Lissu na kuropoka kunaendelea. Hadi uchaguzi unaisha wengi wenu mtakuwa wateja wa Milembe!Anaandika kiongozi mwandamizi Mkoa wa Shinyanga
"Habari za Usikuu wajumbe wa Mkoa wa Shinyanga na Kahama
Ugeni wetu umeingia tayari Ukiongozwa na Kaka yetu Sauti na Dada yetu Gimbi Massaba ambae ni mke wa kaka Wenje,
Tayari leo wamefika Viunga vya Kahama na wameanza Mipango ya Kukutana na wajumbe.
Makubaliano ni yale yale, SAUT na GIMBI wahakikishe wamewakatia 1M ya Kila mjumbe kama mzigo walivyopewa.
Msisahau Kazi yenu wajumbe ni Kula Machame na Kulala Ikungi.
Mungu awabariki sana Mkoa wa Shinyanga na Kahama mmejua kunifurahisha na kuwanyoosha .
Audio Clip zao tutaanza Kuzitoa baada ya Mwaka Mpya.
Good Job Watu wangu wa Nguvu.
Mkoa wa Shinyanga wajumbe wamekula yamini/Kiapo cha Utii Kukilinda chama Chao kwa gharama hata ikibidi ya Uhai wao,
Karibu sana kaka SAUTI ila kua makini sana unaweza Kupoteza ata huo Ujumbe wa kamati Kuu unaogombea ambao sisi
Mkoa wa Shy tuliokua tunakufikilia fikilia,
Dada Gimbi wamekupa kazi ngumu ya Kumuuza Mwamba hutaweza kwani hauziki tena,
Tunakuheshimu na tunajua wewe na SAUT mmeletwa Shinyanga na Kahama kwa kwa sababu wanajua tunawaamini.
Tunaomba kuwahakikishia kazi hii ngumu mmepewa pigeni hela mtembee,
Muhimu sana Fungu letu la 1M ya Kila mjumbe muliache maana ni haki yetu kutoka kwa Abdul
Asanteni sana Mkoa Shinyanga kwa kukihami chama chetu dhidi ya wasaliti hawa"
.
Ni TLP mbadalaSasa kama CHADEMA wanafanya Yale Yale ya CCM Kuna haja yoyote ya kutaka kuitoa CCM madarakani kama mambo ndio haya?
Usiseme Mbowe, sema Ayyottolla a.k.a SULTAN au ukipenda mwite MSEVEN wa MACHAME.
Unazeeka vibaya mkuu. CCM inaingiaje hapo. Ngoja mwaka Mpya upite utazisikiliza "Kilipu" kutoka Shinyanga.CHADEMA inafanyiwa mambo ya hovyo sana na ccm
Ayatollah wa MACHAME.Ayyottolla ni kitu gani? Waambie wenzako wakutumie wa teamLISSU wakutumie hayo maneno au majina DM maana yanakushinda kuyaandika.
Team Lissu na kuropoka kunaendelea. Hadi uchaguzi unaisha wengi wenu mtakuwa wateja wa Milembe!
Kina makalla wanawaangalia tu, tayari wameshapata tips za kuja kuwaangamiza kisiasa hapo kwenye kampeni za uchaguguzi mkuu ujao. CCM imeishakusanya data za kuisambaratisha CHADEMA kwa hoja kwamba hawana legacy ya kuisema vibaya kwa sababu chadema ndio inafanya mabaya kuliko ccm. CHADEMA imeisafishia njia nyeupe CCM kuendelea kutawalaSasa kama CHADEMA wanafanya Yale Yale ya CCM Kuna haja yoyote ya kutaka kuitoa CCM madarakani kama mambo ndio haya?
Hawa CHADEMA ni wabaya zaidi hata ya CCM kwenye suala la madaraka,
Nasema Kidumu sana chama Cha Mapinduzi
Unazeeka vibaya mkuu. CCM inaingiaje hapo. Ngoja mwaka Mpya upite utazisikiliza "Kilipu" kutoka Shinyanga.
Mbowe yupo hivyo miaka yote hajabadilika.Ila Mbowe amebadilika sana huyu Mzee Wala hatukutegemea kabisa
Ahahahahaha! Eti anasema ukweli wakati anasingizia marehemu kwasababu hawawezi kujitetea!Yaani wanafuata njia za mgombea wao, Mbangaizaji ukimuuliza kuwa umepata wapi hizo tetesi usishangae akakwambia aliyempatia hiyo tetesi ni marehemu.
CHADEMA inafanyiwa mambo ya umeona mbali sana mkuu
Ayatollah wa MACHAME.
Kwa wewe chawa unataka nini!!!Kwahiyi na wewe unaamini tetesi za mtoa mada , ambaye amejiunga siku ya jumatano 25/12/2024, na toka ajiunge mada zake zote ni kumpigia kampeni Lissu huku akihangaika kumponda Mbowe na timu yake?
Tuache kudanganyana.
Hii kazi mnaifanyia Tanzania na waTanzania wote. Hii siyo kazi ya CHADEMA peke yake.Anaandika kiongozi mwandamizi Mkoa wa Shinyanga