Tetesi: SHINYANGA: Mke wa Wenje pamoja na rafiki wa Esther Matiko wafika na kugawa shilingi milioni moja kwa kila mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa CHADEMA

Sasa kama CHADEMA wanafanya Yale Yale ya CCM Kuna haja yoyote ya kutaka kuitoa CCM madarakani kama mambo ndio haya?

Hawa CHADEMA ni wabaya zaidi hata ya CCM kwenye suala la madaraka,


Nasema Kidumu sana chama Cha Mapinduzi
Kila mtu ashinde mechi zake
 
Ziko pale pale mkuu ukivimbiwa choo kipo karibu sana😆😅😅😅
Hahaha umenifanya nicheke kwa sauti. Acha vituko asee ebu faster pitia hapo kwa mangi uagizie chochote ntapita baadaye kulipa
 
Huwa unajitahidi sana kuinyofoa Chadema. Kubali kuwa Chadema kuna rushwa! Usiisingizie CCM.
CCM ndio jabali la rushwa, takrima, bakshish na kula kwa urefu wa kamba bila kusahau pesa ya kiwi kwa traffic
 
Kinachotafutwa ni pesa badala ya kuwalalamikia wenye pesa walaumu waliokufanya ukawa maskini 😁😁👇👇

View: https://x.com/Jambotv_/status/1872967863650435096?t=YGlWVUw7GT6dAg8-KRy0yA&s=19
 
Ila Mbowe kabadilika sana
 
Nilisha sema CHADEMA mkikubali rushwa ya aina ueyote ndani ya chama ni pesa za CCM
 
Mbowe bila rushwa hawezi kutoboa. Mbowe anajua, Abdul anajua, Wenje anajua, Boni yai anajua, Sugu anajua, Devotha Minja anajua na Kila aliye Kambi ya Mbowe anajua. Acha kujitoa ajili.
Sema kina boni yai ndo vi tetea vyake navyo vinajifunza kupiga mizinga ya asali ndo maana vinajifanya hivyo
 
Ccm na rushwa ni chanda na pete kama mwenye kiti wao kaanza na rushwa kugawa pikipiki hiko na tshirt kabla hata ya uchaguzi unategemea nini labda
ishu sio ccm bali lisu hatakiwi popote kuongoza wanadamu walioumbwa kwa mfano na sura yake, mwenye utu na aliyejawa utashi.
lisu mtukanaji kuna kila sababu ya kumkataa kwa kutumia mfumo wowote ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…