Shinyanga: Mume aua mkewe na kisha kujilipua ndani ya nyumba kwa Petroli baada ya Wazazi wake kuvunja Ndoa yao

Huyu jamaa aliyejiua na kuua ni khanithi na huko anakoenda ninaamuru afirwx mara 70X70x2+800..!
Tumechoka kusikia watu wasengerema dizaini yake!!
 
Kuna wakati wazazi wetu wa kiafrika hujikuta miungu watu.

Wazazi sio kila jambo mko sahihi, kama kijana kajiheshimu kaoa, kawaletea wajukuu hebu acheni atimize kiu ya moyo wake, hii tabia ya kutaka mtoto afate hisia zenu ni kutaka kuonea onea watoto kama vile hawana haki ya kuamua.
 
For love is stronger than death.....

aliandika Mfalme Suleiman
Wimbo ulio Bora
 
This is sad, jamaa angewafikiria watoto kabla ya kufanya maamuzi kama hayo
 
Hivi unaweza kuuana kwasababu ya wivu wa maoenzi jamani!?? Mbona watu bado ni washamba kiasi hiki!?? Kwann MTU akikushinda mbona wapo wengi tuuu!??!yan mjitu mingine sijui INA laana gani!??
 
Feeling zinazo uma ni umejitoa kwa mtu for years umetumia kila jasho na senti kwa ajili ya huyo mtu....
Ume abandon ndoto zako kibao... Hauchepuki...kila unacho pata ni Kwa familia....umewekeza akili zote ukiamini mtakua wote forever...

Hakuona sababu ya kuendelea kuishi maana mtu akifikia point hiyo huwa ame giving up about life.....Usipo kua strong...wengi huamua ku Quite life....

RIP
 
Sasa mke ana kosa gani hadi auwawe, si amekataliwa....alitakiwa auwe waliomkataa. Pambafff zake huyo jamaa.
 
Hivi unaweza kuuana kwasababu ya wivu wa maoenzi jamani!?? Mbona watu bado ni washamba kiasi hiki!?? Kwann MTU akikushinda mbona wapo wengi tuuu!??!yan mjitu mingine sijui INA laana gani!??
Hujawahi kupewa kipapa kusawasawa wewe. Kuna wanawake wanakupa kipapa Hadi unachizika, Sasa ukifikiria Raha zile apewe mtu mwingine unachanganyikiwa. Mstaafu Fulani kutoka UK Ni shahidi na mfano mzuri.
 
Hujawahi kupewa kipapa kusawasawa wewe. Kuna wanawake wanakupa kipapa Hadi unachizika, Sasa ukifikiria Raha zile apewe mtu mwingine unachanganyikiwa. Mstaafu Fulani kutoka UK Ni shahidi na mfano mzuri.
Jamaa hajui eeh ukikolea kwa mmoja hata ugonge mademu 1000 maumivu hayaishi

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Usicheze na mnato Mkuu tena uliodumu hata baada ya watoto watatu. Utawasikia wahuni, “Yule KE ana watoto watatu/wanne lakini bado ana K mnato.” Jamaa akaona kama yeye hawezi kuwa naye basi hakuna ME yoyote atakayemvua chupi tena. Wazazi hao ni washenzi sana! Mnavunja vipi ndoa ambayo kuna watoto watatu?
Watoto watatu jamaa alikuwa bado hajaridhika tu kuuachia mzigo na wengine wahangaike nao.
 
Ni baadhi tu si uliona yule katombewa humu lakini hakujilipua yeye na mkewe na walilala kitanda kimoja siku katoka kupata mshedede.
Ogopa k mnato. Hata Kama tako halipo Kama k Ni imara mtaendelea kujiuliza hivi yule kampendea mwanamke Fulani kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…