Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Sio kijiti ni kijiti cha mhogo....hiyo nimeiskia Mwanza..unachukua mzizi au kijiti cha mhogo unakipachika kwenye via vya uzazi..naskia hutumii hata 30min unableed! Nili🙌!Uwiii mpaka nimesisimka jamani kujichokonoa na kijiti jamani hayo maumivu[emoji21][emoji37]
Serikali iruhusu watoto wa kike kurejea masomoni hata kama wakipata ujauzitoMwanafunzi anayesoma kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Uzogole Manispaa ya Shinyanga (jina limehifadhiwa), amedaiwa kujitoa ujauzito kwa kijichokonoa na kijiti, ili aendelee na masomo...
Hii mada siku zote huwa 50/50 kwamba warudi ama wasirudi. Ngumu kumeza.Serikali iruhusu watoto wa kike kurejea masomoni hata kama wakipata ujauzito
Hahahahhahahaa...dah...Shinyanga na GEITA wangepewa tu mafunzo wawe professional assasinators! Lasivo taifa litakuwa linapoteza human resources
(Utani tu)
Hazamishi kisu tumboni, anazamisha kunako 713.Huyo akikua ukamzingua,si anaweza kukuvizia umelala akakuzamishia Kisu tumboni
Hili naona jibu Kama linaeleweka hivi! Ila siyo kijiti tuu mradi kijiti.Sio kijiti ni kijiti cha mhogo....hiyo nimeiskia Mwanza..unachukua mzizi au kijiti cha mhogo unakipachika kwenye via vya uzazi..naskia hutumii hata 30min unableed! Nili[emoji119]! Ukimuuliza mwanafunzi mwenyewe am sure atasema alijiingiza kijiti cha mhogo ndo maarufu sana huko kwao!
Hawaendi hosp wala nini! Kijiti tu cha mhogo!
Ni maarufu kama mjini ilivyo postonal 2
Aiseee kumbe!! Kweli tembea uone duhhSio kijiti ni kijiti cha mhogo....hiyo nimeiskia Mwanza..unachukua mzizi au kijiti cha mhogo unakipachika kwenye via vya uzazi..naskia hutumii hata 30min unableed! Nili[emoji119]! Ukimuuliza mwanafunzi mwenyewe am sure atasema alijiingiza kijiti cha mhogo ndo maarufu sana huko kwao!
Hawaendi hosp wala nini! Kijiti tu cha mhogo!
Ni maarufu kama mjini ilivyo postonal 2
[emoji28]me nikajua ni hivi vijiti na walivyosema alikuwa anajichokonoa sijuiHili naona jibu Kama linaeleweka hivi! Ila siyo kijiti tuu mradi kijiti.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
We jamaa bana, dalili za sonona hizi, kila jambo kwako wewe chanzo ni JPM.Haya ndiyo madhara ya ile sheria kandamiza ya marehemu Kayafa ya kukataza watoto wa kike wasirudi shule wakishika mimba.Mwili wangu umekufa ganzi kabisa kwa manyanyaso haya ambayo wanafanyiwa watoto wa kike.Kama siyo hiyo sheria kandamizi haya mambo ya kujichokonoa kwa kijiti yasingetokea.
Poleni...Dah. Very very sad.
And at that age tu.
Vile vijidawa vya yeast tu sisi Mama zao kuingiza tunapata presha 😰😰😰
Hope she heals and is able to have a baby some day when she is older and wiser
Kwa hilo nakupinga huyo atasoma na mwanao ili washauriane vzr sio mtoto wangu kila kitu mnataka kulaumu na kupinga mzee sio kila kitu alikua anakoseaHaya ndiyo madhara ya ile sheria kandamiza ya marehemu Kayafa ya kukataza watoto wa kike wasirudi shule wakishika mimba.Mwili wangu umekufa ganzi kabisa kwa manyanyaso haya ambayo wanafanyiwa watoto wa kike.Kama siyo hiyo sheria kandamizi haya mambo ya kujichokonoa kwa kijiti yasingetokea.