Shinyanga: Mwanafunzi ajitoa ujauzito kwa kijiti

Toka lini maelezo ya polisi yakajitosheleza?

Polisi washavuta mpunga kwa Dr aliyetoa Mimba wakaandaa script yao,yaani mtoto ajiingize kijiti tu na mimba ikatoka?? Polisi wasiwe wanatoa maelezo kwa mambo yanayohusu utaalamu.
 
Kwa hilo nakupinga huyo atasoma na mwanao ili washauriane vzr sio mtoto wangu kila kitu mnataka kulaumu na kupinga mzee sio kila kitu alikua anakosea
Yes,mtoto wako akipata mimba atajichokonoa ili aweze kuendelea na masomo kwa sababu hamna namna.
 
Ushasoma tafiti juu ya madhara ya kuwarudisha shule mabinti?
We ushasoma tafiti juu ya kuwazuia watoto wasirudi shule pale wanapopata mimba?Unaelewa kuwa watoto hawa huwa wanakufa kwa sababu ya kutoa mimba ili warudi shule?
 
Naomba tu kuuliza, hivi YWCA ni Shirika, Taasisi ama Jumuiya? [emoji848]
 
Wanasema kijiti cha mhogo ni sumu balaa ukiwa na mimba...watu wa kanda ya ziwa wanatumia mno..kuna ndg yangu alijigundua ana mimba 50 yrs tukamzika !....! Sijui kina nini...!
Yaan alipata mimba na 50yrs akaitoa na kijiti cha mhogo?

Pia kuna mama mmoja kijijini kwetu 2018 ile nimeenda likizo alikuwa na 46 yrs ana watoto 10, alipata mimba akajichokonoa na huo mti wa mhogo akaoza huko ndani tukazika!

Inaonesha ilikuwa michezo yake sasa siku hiyo ikawa bahati mbaya[emoji22][emoji848]
 
We ushasoma tafiti juu ya kuwazuia watoto wasirudi shule pale wanapopata mimba?Unaelewa kuwa watoto hawa huwa wanakufa kwa sababu ya kutoa mimba ili warudi shule?
Unachosema waruhusiwe kuendelea na shule kwa sababu watakufa wakati wanatoa mimba!? Kwa fikra hizi za kubembeleza, basi na wanaofeli wapitishwe tu maana huwa wanajiua kwa sababu ya matokeo mabaya.
 
Wasukuma bwana.
Daaah. Kuna kipindi walipewa nchi wanatuongoza kabisa yaani
 
Kwa hiyo sasa hapo kawini? Si kesi ya mauaji hiyo na kutoa mimba au sheria inasemaje?
 
Same na huyo wa kwetu...!alifariki.kwaajili.hizo.alibleed balaa na mimba ilikua 7mths..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…