Shinyanga: Mwanafunzi ajitoa ujauzito kwa kijiti

Nm
Nimetetemeka sana kusikia habar hii
 
Kijiti? Hii inawezekana vipi? Ile sehemu laini vile kijiti kinapita vipi? Maajabu jamani
 
Hata mimi bado natafakari inawezekanaje hii kitu tena kufanywa na mtoto ambaye hajui chochote.
Kufikia hatua ya kuchukua uamuzi wa kuitoa mimba kwa namna hiyo bado tu hajui chochote😳?
Kuna vitu vingine vinakanganya.

Hako kabint ni kabunifu na kanastahiki kutambuliwa kwa kitendo hicho ima katika hali ya u-chanya au u-hasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…