LGE2024 Shinyanga: Wananchi wafichua kukosekana kwa karatasi za kupigia kura. Karatasi za kwenye notebook zatumika kama mbadala

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Wakiwa wanahojiwa kwenye kituo cha TVE wananchi wa mbalimbali wametoa maoni kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye Uchaguzi.

Mmojawapo wa wapiga kura alidokeza kwenye mtaa wake hakuna karatasi maalum za kupigia kura na badala yake karatasi za notebook zinatumika

======================================

Mbona kama mchakato umeingia dosari sana?

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…