#COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

Kama hiyo chanjo ni bure haina shida waje tu watuchanje ila kama ni ya kununua inabidi tukae nao chini kwanza tuongee

Walitengeneza HIV hadi Leo wanatuzia kondomu wameona haitoshi wanatuletea ugonjwa mwingine ili wafanye biashara nyingine ya chanjo
 
Wacha tuone nani ataibuka mshindi au nani ataumia.
Dawa ya huu upuuzi wa Jiwe ni Tanzania kuwa ISOLATED KIMATAIFA....!!!
Haiwezekani dunia nzima inahangaika kupambana na Corona wewe unapingana na Dunia ukisingizia vita VYA KIUCHUMI!!!!Yaani Jiwe anataka kutuaminisha Watz kuwa Uchumi wa Tanzania umepita ule wa Marekani, Uingereza,Japan, France, Russia n.k. Non-sense!!!!
 

Una uhakika gani chanjo wanazojidunga wao wazungu ndio hizohizo wanazotuletea sisi.?
 
Nimekagua maktaba ya Taifa kuona kama kuna Rais yeyote wa Afrika aliyewahi kupambana na the so called mabeberu akashinda. Aibu inamnyemelea Jiwe.
😂😂😂Akili ndogo, ko kwa akili yako hakuna mwafrica anayeweza kufanya kitu ambacho hakuna aliyewah kukifanya?? Stupid
 
Tukiwa isoleted unahis Nan ataliaa, Watz uwezo wa kufikiria n mdgo , wanaongonzwa na hisia pamoja na ushabik, maombi yako yakitimia wewe, familia yako na ukoo wako probably mtadhurika sana na syo family ya kabudi, ndugai wala maguful, huwa sometimes nataman Mungu ajibu maombi ya Watz Kama wew ili ujinga uwatoke
 
Well said mkuu, some Africans wakiambiwa you are 🐒 monkeys, wanasema right coz kasema mzungu, wake up guys it is time for changes, historia huwa inabadilika, Kama walishindwa ss tutaweza for real
 
Wacha tuone nani ataibuka mshindi au nani ataumia.
Kati ya jiwe la chunvi na jiwe halisi?? Mbona mshindi anajulikana tayar. Walikuwepo viongozi mafedhuli kama kina Mugabe wapo wapi??? Shida ya bwana mkubwa ni kukosa exposure tu.
Sasa kama raisi nasafiri unategemea nn???
 
Mkuu unataman hata kumkoa kwenzi ndo hvo huwezi tuu😃
 
Kama hiyo chanjo ni bure haina shida waje tu watuchanje ila kama ni ya kununua inabidi tukae nao chini kwanza tuongee

Walitengeneza HIV hadi Leo wanatuzia kondomu wameona haitoshi wanatuletea ugonjwa mwingine ili wafanye biashara nyingine ya chanjo
Tatizo hyo chanjo wanayokuletea sidhan kama ndo hyo hyo wanayojindunga wao... Alaf hii chanjo Kwa nn iwe lazima tena kwenye eneo la watu ambao hawadhuriki kivile na Corona na hata sio chanzo...
 
TULIANZA NA NYUNGU TUNAMALIZA NA NYUNGU
 
Inabidi iwe ivo mambo ya kutegeana hatutaki sisi,hao hao wanaoleta kimbelembele ooh tunataka chanjo ndo itabidi waanziwe wao na familia zao alafu batch ya pili wenye pass za kusafiria ambao watatarajia kusafiri miezi ya karibuni

Sio eti mi nipo huku chato ndani ndani uniambie chanjo inanihusu sitaki kusikia ilo,
Watu ni lazima tuhoji ubora wa chanjo mambo ya kusambaziwa chanjo alafu watu wanaanza kuugua corona kama moto uliiongezwa petrol hatutaki,watakachojitetea ni kwamba ni Error za kisayansi.

Sasa mchukulieni mzungu kama ni perfect kama Mungu ndo tutakapojua kifo kinafananaje tena mapema tu,

Mitandao ni kitu kinachotumika kuwaingiza watu chaka tena fasta tu ndani ya dk mbili, izo chanjo zije tu watakao dungwa wadungwe na tunahakikisha wanapewa alama hata kama ni magari ya mwendokasi wawe na yakwao binafsi,yani hatutakua na mwingiliano nao mpaka tuone nani mshindi.
 
Mimi sivai barakoa. Bega kwa bega na rais wangu Mh. Dr. J.P. Magufuli
 
Mimi naihitaji hiyo chanjo. Siungi mkono kauli tatanishi za wanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…