Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,043
- 3,305
wamefeli,kitu imekutana na nyungu+malimao na tangawizi imekula besela daadeq....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona....na mpaka sasa hali sio ya kutisha kama walivyo daiwapumbavu WHO wote, hao si ndio waliosema waafrika mil. 10 watafariki ndani ya wiki moja ?
Waje Tena wakati wanasherehekea watu wakifa kwa Corona, angalia wanavyo kasirika wakisikia vifo ni vichache, halafu angalia wanavyolilia kusikia vifo vingi najiuliza Hawa jamaa ni wachawi au? Mchawi tu ndio ana shangilia kifo
Pumbavu,.... walitupa week moja, tukatusua, wakatugea mwezi mmoja, tukatusua, sasa wanatugea mwaka mzima!?
Hivi mpaka huo mwaka kuisha huko Europe , America & Asia atabaki nani?
Mwafrika ni mtu halisi katika ulimwengu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app