Shirika la Afya Duniani (WHO) lasema huenda Waafrika 190,000 wakapoteza maisha ndani ya mwaka mmoja kutokana na Corona

Shirika la Afya Duniani (WHO) lasema huenda Waafrika 190,000 wakapoteza maisha ndani ya mwaka mmoja kutokana na Corona

MUNGU KUPITIA SISI WANYONGE ANAONYESHA UTUKUFU WAKE!


HATUNA WA KUMTUMAINIA NA KUMKIMBILIA ZAIDI YAKO MUNGU MAANA HATA WATAWALA WETU WAMETUACHA PEKE YETU KWENYE BONDE LA UMAUTI LAKINI KWA NEEMA ZAKO TUTAVUKA SALAMA!

UWAPE PUMZIKO LA AMANI WANYONGE WENZETU WALIOSHINDWA VITA HII!

UWAKAANGE KWENYE TANURU LA MOTO WATAWALA WALIOTUTELEKEZA NA KUTANGULIA!

AMEN.!
 
Afrika vifo vipo sanaa, hususani huku masharti yamekua changamoto kwetu..sema tu wa....na....f.....ch.....ila wa.......tu.....wanakufa
 
Pumbavu,.... walitupa week moja, tukatusua, wakatugea mwezi mmoja, tukatusua, sasa wanatugea mwaka mzima!?
Hivi mpaka huo mwaka kuisha huko Europe , America & Asia atabaki nani?

Mwafrika ni mtu halisi katika ulimwengu huu.

Sent using Jamii Forums mobile app


Binadamu wote ni halisi, awe mzungu, mhindi, msomali, mchina waarabu wote hali moja. Acheni ushamba
 
Back
Top Bottom