#COVID19 Shirika la Afya linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho 'Mu'

#COVID19 Shirika la Afya linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho 'Mu'

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, chanjo yake inatoka lini?! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

R.I.P JPM 🙏🏼
 
Napita tu
20210901_214127.jpg
 
[WHO investigating new COVID-19 variant named Mu]


My take:

Watalaamu wetu wa afya muwe makini sana ushauri wenu mnaotupa hasa ukichangia ugonjwa huu umegeuka kuwa makumbano ya kisiasa.

Na kwa jinsi hali inavyoendelea wale waliokataa kuchomwa chanjo watakuja kuonekana waliona mbali sana maana kirusi hiki kinaonekana mpaka sasa kina uwezo wa kuishinda chanjo , kwa maneno mengine chanjo inadunda kwa kuwa kinaendelea na mutation mbalimbali ambazo zinaendelea kuwachanganya hata wanasayansi wakubwa wa nchi zilizoendelea.

Sipatii picha Mchungaji Rashidi atakavyowapaka wapinzani wake waliojinasibu kuwa ni wataalamu na wamefanya utafiti na wale waaliomuita kwenye ile kamati .
 
Back
Top Bottom