#COVID19 Shirika la Afya linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho 'Mu'

#COVID19 Shirika la Afya linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho 'Mu'

Gwajima ataibika mshindi tu “ Kama Bwana yupo upande wetu nani aliye juu yetu”
Kuna watu wamepinga Chanjo America wameibuka washindi kwenye Mahakama.
Serikali zote wanaogopa hili swala la Chanjo kwenda Mahakaman watashindwa
 
Kwa hiyo hicho kirusi kinarepresent mean ya Corona?
Kina represents arithmetic Mean.. 😀😀

Big pharm industries wameanza kuzinguwa sasa ... hii biashara ina pesa ndio maana hata billionaire billy kaja huku..

Na hawa ma scientists wa siku hizi wengine wanazinguwa tu ni " tick tokers"
 
Shirika la Afya Duniani (WHO) linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kinachofahamika kama Mu au B.1.621 ambacho kwa mara ya kwanza kiligundulika Januari 2021 Nchini Colombia

Kwa mujibu wa WHO, Kirusi hicho kina mabadiliko yanayoashiria kinaweza kuwa sugu kwa Chanjo, lakini tafiti zaidi zinahitajika ili kuchunguza hilo

=====

A new coronavirus strain, named Mu, has been designated a variant of interest by the World Health Organization.

Mu, or B.1.621, was first identified in Colombia and cases have been recorded in South America and Europe.

The WHO’s weekly bulletin on the pandemic said the variant has mutations suggesting it could be more resistant to vaccines, as was the case with Beta, but that more studies would be needed to examine this further.

It said: “Since its first identification in Colombia in January 2021, there have been a few sporadic reports of cases of the Mu variant and some larger outbreaks have been reported from other countries in South America and in Europe.

“Although the global prevalence of the Mu variant among sequenced cases has declined and is currently below 0.1%, the prevalence in Colombia (39%) and Ecuador (13%) has consistently increased.

Source: The Guardian
Waache upuuzi
..wanavitengeneza wenyewe pumbavu
 
Nimeona hii kwenye Forum nikasema, OKAY!
1630561405551.png
Kisha nikakumbuka kuwa, ORDO AB CHAO ni falsafa ya kimasoni inayomaanisha ORDER OUT OF CHAOS,
yaani ukitaka kutengeneza kitu kizuri, uharibifu unakitangulia kwanza. Mfano, ukitaka kuunda meza, lazima mti ufe, ukatekate ubao kwa msumeno, uutoboe na kuubamizabamiza kwa nyundo, ndipo unazaa meza.

Watu hawa wanaamini hiyo ndiyo natural process, kwa hiyo hata kwa maisha ya binadamu ikitumika ni sawa tu.

Kwa imani hiyo, wanasema:

1. TENGENEZA SULUHISHO (unalotaka wewe, yaani ile ORDER unayotaka izaliwe).
2. ANZISHA TATIZO (ili watu waje wakuombe suluhisho)
3. TOA SULUHISHO (si kwa lengo la kutatua tatizo bali kufikia KUSUDI ulilokuwa umelipanga tangu awali)
..............
There is nothing of international status that happens by accident, all things are generally pre-planned.

Je:
1. Si kweli kwamba virusi vya ukimwi vina PATENT?
2. Si kweli kwamba virusi vya korona vina PATENT?
........
PATENT ni nini?
Ni agizo la kiserikali kulinda ugunduzi wa mtu.
Sasa kama ugonjwa ni ugunduzi wa mtu, huoni kuwa hiyo ni mipango?

Hakuna anayekuzuia kupokea "chanjo" bali tunaongezeana tu wigo wa fikra na kutafakari mambo kabla ya kufanya uamuzi.
 
Ha ha ha ha ha daa jamani mambo mengine unacheka mpaka wengine wanakushangaa
Madam nimeuliza hilo tangu jana ila hadi sasa sijapewa majibu. Sijui kwanini sisi wenye degree tunadharauliwa sana
 
Nikadhani kwenye yale yetu ya kimaskhara 😂😂😂😂!

Kumbe ya kirusi mkuu?

Usisahau kirusi kama alivyo binadamu hujifunza kutokana na makosa. Makosa kikishayajua hakiyarudii tena.

Kumbuka pia mkakati wa kirusi chochote siku zote ni kujipatia namna ya kushambulia vyema na kwa ufanisi zaidi.

Hiyo ndiyo nadharia rahisi ya kitu mutation.

Ya wataalamu tuwaachie wao Gwajiboy hatatuvusha!
 
Hawa jamaa wameshatutangulia millions of miles waache wafanye wanachojiskia .. God is the only hope.
 
Shirika la Afya Duniani (WHO) linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kinachofahamika kama Mu au B.1.621 ambacho kwa mara ya kwanza kiligundulika Januari 2021 Nchini Colombia.

Kwa mujibu wa WHO, Kirusi hicho kina mabadiliko yanayoashiria kinaweza kuwa sugu kwa Chanjo, lakini tafiti zaidi zinahitajika ili kuchunguza hilo.

=====

A new coronavirus strain, named Mu, has been designated a variant of interest by the World Health Organization.

Mu, or B.1.621, was first identified in Colombia and cases have been recorded in South America and Europe.

The WHO’s weekly bulletin on the pandemic said the variant has mutations suggesting it could be more resistant to vaccines, as was the case with Beta, but that more studies would be needed to examine this further.

It said: “Since its first identification in Colombia in January 2021, there have been a few sporadic reports of cases of the Mu variant and some larger outbreaks have been reported from other countries in South America and in Europe.

“Although the global prevalence of the Mu variant among sequenced cases has declined and is currently below 0.1%, the prevalence in Colombia (39%) and Ecuador (13%) has consistently increased.

Source: The Guardian
Hapo ndipo nilikuwa nampendea Mwamba Magufuri,japo ametangulia mbele ya haki, Watanzania mtatishwa sana, lakini simameni imara, Sasahivi sijui tumefika sijui wimbi la ngapi, mpaka waliojitaidi kufuta legacy yake wakaleta chanjo, chanjo zimewadodea,wanamsingizia Gwajima boy,R.i.p president Magufuri fikira zako bado zinaishi.
 
Sasa Kama kila sikU kinakuja kipya, tutachoma chanjo ngapi Sasa[emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], chanjo yake inatoka lini?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

R.I.P JPM [emoji1374]
Yaani mpaka Nawaza hili la Corona lishakua Ni biashara [emoji2]

Tutachoma chanjo ngapi sasa.?
 
Nikadhani kwenye yale yetu ya kimaskhara 😂😂😂😂!

Kumbe ya kirusi mkuu?

Usisahau kirusi kama alivyo binadamu hujifunza kutokana na makosa. Makosa kikishayajua hakiyarudii tena.

Kumbuka pia mkakati wa kirusi chochote siku zote ni kujipatia namna ya kushambulia vyema na kwa ufanisi zaidi.

Hiyo ndiyo nadharia rahisi ya kitu mutation.

Ya wataalamu tuwaachie wao Gwajiboy hatatuvusha!
Mkuu kirusi gani? Natural au patented?
 
Back
Top Bottom