Shirika la Bima la Taifa (NIC) kuna tatizo gani? Mbona hamlipi fedha za watu kwa wakati?

Wekeza kwenye UTT fedha yako itakuwa salama na faida wanayotoa no10% au zaidi ya hapo.
 
Hela zangu na nimechangia kwa hiari yangu halafu kuipata hadi nihonge?
Watumishi wa serikali walishauriwa na mamlaka ya juu kuwa wale kwa useful wa kamba yao. NIC ni taasisi ya serikali, hivyo hiyo 30% ndiyo urefu wa kamba yao. Kama hutoi iinakula kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…