Hizo ni dhana potofu, huu ni mwaka wa tano, toka awamu ya tano iingie madarakani, lakini hakuna hata jitihada yoyote iliyofanyika kuepukana na mikopo/misaada ya wazungu ambayo tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni ya kitumwa!!! Suala la kujitegemea ni mchakato, sio la kuibuka tu!!!Hapa pia kwenye hii mikopo ndio naona ile dhana ya kutusisitiza tuweke lockdown mwisho wa siku wanakuja na misaada yao kumbe nao wanataka wajidai wanasaidia ilihali wana kitu wanacho kilenga..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikujua kama we zombie sibishani na majitu ya karba yako.Nyambafu
[emoji23][emoji23]Naona nchi masikini zinasaidiwa baada ya kupata mtikisiko wa uchumi...ni wakati sasa wa nchi tajiri kama Tanzania kuanza kusaidia majirani masikini kama Kenya, Uganda nk..
Mkuu It is a
Loan(mkopo) and not grant,soma tena ili uelewe,huu sio msaada,hata sisi kama nchi tukitaka kukopa tunapewa ila jembe letu JPM kakataa kukopa maana uzalishaji umeshuka anachowata hawa wa world bank wasitishe kwanza marejesho ya mikopo wanayotudai ili pesa hii itumike kupambana na athari za covid na sio kukopa wakati hakuna uzalishaji kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuhitaji mikopo, fedha zetu za ndani zinatutosha.
Hatuhitaji mikopo, fedha zetu za ndani zinatutosha.
Mkuu anayekukopesha anakuwa amekusaidia pia maana amekusaidia kipindi cha shida ambacho huna, nawewe unaenda unatatua shida zako kwa wakati huo..
Suala la madeni wenzetu hawa walishasamehewa mwezi uliopita na kusimamisha marejesho yao kipindi hichi cha Covid-19, Nafikiri hili halituhusu sana maana tayari sisi ni moja ya nchi tajiri ukanda
Mkuu It is a
Loan(mkopo) and not grant,soma tena ili uelewe,huu sio msaada,hata sisi kama nchi tukitaka kukopa tunapewa ila jembe letu JPM kakataa kukopa maana uzalishaji umeshuka anachowata hawa wa world bank wasitishe kwanza marejesho ya mikopo wanayotudai ili pesa hii itumike kupambana na athari za covid na sio kukopa wakati hakuna uzalishaji kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nadhani hufuatilii vizuri Haya mambo ya kimataifa,kwa taarifa yako hakuna nchi ya afrika madhariki iliyosamehewa madeni kwa hili nakataa isipokuwa misaada tu ndio ilikuwa ikitolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...mama wa watu ummy hana kosa lolote. yuko mzee mmoja anaitwa meko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa usiri wa takwimu.
Kwa kipindi hiki sijazungumzia wakati wote.Hii nchi inaendeshwa kwa mikopo, wewe unasema alikataa mkopo jeuri hiyo ya kukataa anaitoa wapi.
Magufuli alitoa mapendekezo tu, wakiamua wayakubali au wayakatae lkn jeuri ya kukata mkopo hana.
Tena bora upate bahati ya kukopeshwa na IMF au WB kuliko kuliko nchi au institutions nyingine
Mimi sijui ndio wanijuza ila haina maana as lobg as ni mkopo. Labda ingekuwa vinginevyo ndio tungesikitishwa.Toka lini IMF wakatoa grants?
Siku zote world bank and IMF wanatoa Loan, maana ni taasisi za pesa zenye kufanya kazi zake kibenki zikipata faida kupitia riba. Tofauti ya hizi taasisi (IMF na World bank) na benki zingine za kibiashara iko kwenye riba na masharti. IMF na World bank wanakukopesha kwa riba nafuu na utalipa taratibu kwa muda mrefu lakini masharti yao ni mazito.
Wanaweza kukusamehe sehemu fulani ya deni wakiona huwezi kulilipa kwa wakati ili waweze kukukopesha tena.
Magufuli anajua kabisa kwa sasa hawezi kukopesheka kirahisi maana ana madeni makubwa, mwenendo wa kulipa unasusua na masharti ya kuweza kukopesheka hayawezi kuyatimiza ipasavyo.
Ndio hapo sasa. Kutopewa mkopo ndio ionekane nchi imetengwa hapo nakataa zingekuwa zinatolewa bure sawa.Ni emergency loan! Mzungu hatoagi pesa bure!! Wazungu wanafanya biashara ya pesa!! Kuna mampuyaya humu yanadhani ni msaada!
Ndio ni mikopo. Sema unapewa kwa affordable rates na mapema zaidi ukilinganisha na mikopo mingine
Jamani kwa hili wenzetu wametupiga bao. Tukubali tu.Kenya imepatiwa Dola za Marekani milioni 739 huku Uganda ikipewa Dola milioni 491.
Kipindi hiki ndio tunaweza kujiendesha bila kukopa sio.Kwa kipindi hiki sijazungumzia wakati wote.