Shirika la Fedha Duniani (IMF) laidhinisha fedha kwa ajili ya Kenya na Uganda kusaidia kupambana na makali ya uchumi

Shirika la Fedha Duniani (IMF) laidhinisha fedha kwa ajili ya Kenya na Uganda kusaidia kupambana na makali ya uchumi

Hatuwezi kupewa pesa kama mnakumbuka katika ile hotuba ya Jpm alisema badala ya kuomba mikopo ni bora tuwaambie watusamehe madeni kwa kauli hii inaonekana yeye hana shida na mikopo yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa pia kwenye hii mikopo ndio naona ile dhana ya kutusisitiza tuweke lockdown mwisho wa siku wanakuja na misaada yao kumbe nao wanataka wajidai wanasaidia ilihali wana kitu wanacho kilenga..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni dhana potofu, huu ni mwaka wa tano, toka awamu ya tano iingie madarakani, lakini hakuna hata jitihada yoyote iliyofanyika kuepukana na mikopo/misaada ya wazungu ambayo tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni ya kitumwa!!! Suala la kujitegemea ni mchakato, sio la kuibuka tu!!!
 
Mkuu Mimi ukinitukana ni sawa na kujisumbua tu ,nashakuru sana kwa hili mkuu,lakini tambua hatupaswi kurumbana kisa tu tunetofautiana kimsimamo,kikubwa ni kueleweshana

Badilika mkuu Wewe ni miongoni mwa magreat thinkers wa jf
Sikujua kama we zombie sibishani na majitu ya karba yako.Nyambafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu It is a
Loan(mkopo) and not grant,soma tena ili uelewe,huu sio msaada,hata sisi kama nchi tukitaka kukopa tunapewa ila jembe letu JPM kakataa kukopa maana uzalishaji umeshuka anachowata hawa wa world bank wasitishe kwanza marejesho ya mikopo wanayotudai ili pesa hii itumike kupambana na athari za covid na sio kukopa wakati hakuna uzalishaji kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu anayekukopesha anakuwa amekusaidia pia maana amekusaidia kipindi cha shida ambacho huna, nawewe unaenda unatatua shida zako kwa wakati huo..

Suala la madeni wenzetu hawa walishasamehewa mwezi uliopita na kusimamisha marejesho yao kipindi hichi cha Covid-19, Nafikiri hili halituhusu sana maana tayari sisi ni moja ya nchi tajiri ukanda
 
Hatuhitaji mikopo, fedha zetu za ndani zinatutosha.

Tehe tehe tehe, tunatumia fedha za sherehe za Muungano!!! Zimepelekwa zote Zanzibar na wala hazikutosha hata 1/16!!!!. Hahahaha!
 
Mkuu nadhani hufuatilii vizuri Haya mambo ya kimataifa,kwa taarifa yako hakuna nchi ya afrika madhariki iliyosamehewa madeni kwa hili nakataa isipokuwa misaada tu ndio ilikuwa ikitolewa
Mkuu anayekukopesha anakuwa amekusaidia pia maana amekusaidia kipindi cha shida ambacho huna, nawewe unaenda unatatua shida zako kwa wakati huo..

Suala la madeni wenzetu hawa walishasamehewa mwezi uliopita na kusimamisha marejesho yao kipindi hichi cha Covid-19, Nafikiri hili halituhusu sana maana tayari sisi ni moja ya nchi tajiri ukanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu It is a
Loan(mkopo) and not grant,soma tena ili uelewe,huu sio msaada,hata sisi kama nchi tukitaka kukopa tunapewa ila jembe letu JPM kakataa kukopa maana uzalishaji umeshuka anachowata hawa wa world bank wasitishe kwanza marejesho ya mikopo wanayotudai ili pesa hii itumike kupambana na athari za covid na sio kukopa wakati hakuna uzalishaji kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu anayekukopesha anakuwa amekusaidia pia maana amekusaidia kipindi cha shida ambacho huna..

Suala la madeni wenzetu hawa walishasamehewa mwezi uliopita na kusimamishiwa marejesho, sisi nafikiri halituhusu sana maana sisi sio taifa masikini na hayo madeni tutalipa tu
Mkuu nadhani hufuatilii vizuri Haya mambo ya kimataifa,kwa taarifa yako hakuna nchi ya afrika madhariki iliyosamehewa madeni kwa hili nakataa isipokuwa misaada tu ndio ilikuwa ikitolewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Ngoja nikutafutie hizo habari mkuu za majirani Kenya, Uganda na Rwanda kusamehewa baadhi ya madeni..

Lakini nafikiri sio issue sana kwetu hizi mambo maana uchumi wetu mkubwa kuliko yeyote hapa East Africa na Mataifa zaidi ya nane yanatugemea, tuchape kazi tu..

Hii Corona sidhani kama ina effect kwetu kiuchumi maana bado kazi zinaendelea, viwanda vinazarisha, watu wanakwenda kazini, Bunge linaendelea, mawaziri wetu wachapa kazi wanaendelea na kazi, Ndege zinatembea except int flight, mameli yanakuja kwa wingi, SGR na Stiggler watu wanachapa kazi..

Hii Corona ni mbinu tu za mabeberu kuturudisha nyuma maana wanaona uchumi unakua kwa kasi ya zaidi ya 7%,. Corona hapa Tz haipo na watu wanaendelea tu na kazi ni CDM na vibaraka wengine wanataka kuleta taharuki tu..
 
Kama kawaida watu wanaleta siasa baada ya nchi kushindwa kukidhi vigezo vya kukopesheka, nchi hii hii ambayo majuzi tu walikuwa wakililia mkopo wa WB kwa ajili ya elimu.

Tanzania bila ku-address taswira yake ya haki za binadamu na kuepuka misuguano ya kijinga na mataifa tajiri, watageuka Zimbabwe part II very soon.

Ktk tawala zote za nchi hii hakuna utawala uliyokopa kama huu wa sasa na ni mikopo tu ndio imeifanya serikali hii iweze kujikongoja na kufikia hapa ilipo.

Sasa kama hali hii ndio itakuwa trend basi ccm huko tuendako itakuwa kama mwanamke aliyeshikwa ugoni gesti, hakuna tena atakachoongea mbele za wananchi waliowanyanyasa na kuwatapeli kwa miongo mingi.
 
Hii nchi inaendeshwa kwa mikopo, wewe unasema alikataa mkopo jeuri hiyo ya kukataa anaitoa wapi.
Magufuli alitoa mapendekezo tu, wakiamua wayakubali au wayakatae lkn jeuri ya kukata mkopo hana.
Tena bora upate bahati ya kukopeshwa na IMF au WB kuliko kuliko nchi au institutions nyingine
Kwa kipindi hiki sijazungumzia wakati wote.
 
Toka lini IMF wakatoa grants?

Siku zote world bank and IMF wanatoa Loan, maana ni taasisi za pesa zenye kufanya kazi zake kibenki zikipata faida kupitia riba. Tofauti ya hizi taasisi (IMF na World bank) na benki zingine za kibiashara iko kwenye riba na masharti. IMF na World bank wanakukopesha kwa riba nafuu na utalipa taratibu kwa muda mrefu lakini masharti yao ni mazito.

Wanaweza kukusamehe sehemu fulani ya deni wakiona huwezi kulilipa kwa wakati ili waweze kukukopesha tena.

Magufuli anajua kabisa kwa sasa hawezi kukopesheka kirahisi maana ana madeni makubwa, mwenendo wa kulipa unasusua na masharti ya kuweza kukopesheka hayawezi kuyatimiza ipasavyo.
Mimi sijui ndio wanijuza ila haina maana as lobg as ni mkopo. Labda ingekuwa vinginevyo ndio tungesikitishwa.
 
Ni emergency loan! Mzungu hatoagi pesa bure!! Wazungu wanafanya biashara ya pesa!! Kuna mampuyaya humu yanadhani ni msaada!
Ndio hapo sasa. Kutopewa mkopo ndio ionekane nchi imetengwa hapo nakataa zingekuwa zinatolewa bure sawa.
 
Kenya imepatiwa Dola za Marekani milioni 739 huku Uganda ikipewa Dola milioni 491.
Jamani kwa hili wenzetu wametupiga bao. Tukubali tu.

Majanga haya ya kidunia tunahitaji financial push kutuliza makali yake.

Na tena kwa janga hili la sasa tunahitaji sio chini ya Tshs 1 trillion.
 
Back
Top Bottom