Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,196
- 6,367
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseewakigeuka huku mchina anataka kuchukua bandari ya Mombasa kwa sababu wameshindwa kurejesha mkopo wa Exim
Kwa nini mnaripoti kama ni MSAADA wakati ni MKOPO? Huoni kwamba ni mzigo wanaongezewa endapo hizo pesa hazitatumika kwa manufaa wa Taifa na watu wao?
We nunda uliona application yetu, iliyokatalia au ndio akili ya kinunda ya dhana kwamba tumekataliwa??Acha kutetea ujinga bado tunahitaji misaada tena mingi,.
Sema mmenyimwa kwa ujeuri wenu, Yaani mwatukane then wawape masaada.. Mtakula Jeuri yenu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie si mnanifanya wajuaji! Mtakula jeuri yenu.
Ni mkopo wenye masharti nafuu kuliko hata ule wa elimu tuliotaka kumtoa uhai Zitto tungeukosa.Tusijipe matumaini ya kijinga eti mkopo huku tukizidi kuangamia.Lazime tukubali tumetengwa na jumuiya za kimataifa kwa sbb ya upuuzi wetu wa kutojali maisha ya watu na hata waafrika wenzetu watatutenga hv karibuni.Hivi unafikiri wanaodhinisha mkopo hawajui kwamba tupo kwenye turbulent economic situation kutokana na covid19??? .Nyie ndo mnaompa ujinga jiwe ili aendelee kuangamiza watu na uchumi mpk rafiki yake Odinga anawashangaa kwa kum ill advice rafik yake ili kulinda vyeo na mitumbo yenu.Mkuu It is a
Loan(mkopo) and not grant,soma tena ili uelewe,huu sio msaada,hata sisi kama nchi tukitaka kukopa tunapewa ila jembe letu JPM kakataa kukopa maana uzalishaji umeshuka anachowata hawa wa world bank wasitishe kwanza marejesho ya mikopo wanayotudai ili pesa hii itumike kupambana na athari za covid na sio kukopa wakati hakuna uzalishaji kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
mama wa watu ummy hana kosa lolote. yuko mzee mmoja anaitwa meko.Ummy must GO
Ni mkopo wenye masharti nafuu kuliko hata ule wa elimu tuliotaka kumtoa uhai Zitto tungeukosa.Tusijipe matumaini ya kijinga eti mkopo huku tukizidi kuangamia.Lazime tukubali tumetengwa na jumuiya za kimataifa kwa sbb ya upuuzi wetu wa kutojali maisha ya watu na hata waafrika wenzetu watatutenga hv karibuni.Hivi unafikiri wanaodhinisha mkopo hawajui kwamba tupo kwenye turbulent economic situation kutokana na covid19??? .Nyie ndo mnaompa ujinga jiwe ili aendelee kuangamiza watu na uchumi mpk rafiki yake Odinga anawashangaa kwa kum ill advice rafik yake ili kulinda vyeo na mitumbo yenu.
Hii ndio sababu ya wao kupewa pesa. Hatujakaushiwa.saying the coronavirus pandemic is likely to exact a severe toll on the two East African economies.
Wananchi wa Kenya wenyewe wanalalamika kwamba izo pesa zote zinaishia mikononi mwa mafisadi waliobobea kwa tamaa zao.The International Monetary Fund approved $1.23 billion of emergency funding for Kenya and Uganda, saying the coronavirus pandemic is likely to exact a severe toll on the two East African economies.
The loans bring to more than $10 billion the IMF has disbursed to African nations to help them combat the virus. Kenya’s government is negotiating with bilateral and multilateral creditors to delay debt-service payments due this year as it shores up funds it needs for health-care. Those discussions are taking place as the Institute of International Finance coordinates talks on debt relief for emerging markets.
The IMF’s $739 million Rapid Credit Facility will boost Kenya’s international reserves to help cover balance of payments shortfalls this year. It will also provide resources to boost public health and support for households and companies hit hard by the crisis, the IMF said in an emailed statement. The 10-year facility carries no interest and has a 5½-year grace period.
The IMF’s $739 million Rapid Credit Facility will boost Kenya’s international reserves to help cover balance of payments shortfalls this year. It will also provide resources to boost public health and support for households and companies hit hard by the crisis, the IMF said in an emailed statement. The 10-year facility carries no interest and has a 5½-year grace period.
Bloomberg - Are you a robot?
Sikujua kama we zombie sibishani na majitu ya karba yako.NyambafuMkuu chukua tahadhari covid ipo zingatia kanuni zote zinazotolewa na wataalamu wa afya hapo utasarimika.
Kuhusu hayo unayoyasema eti Rais kawa legevu ulitaka afanye nini ili ujue kuwa anajari afya za wananchi wake?
Hebu angalia nchi kama Rwanda ,Uganda nk,hawa walijipiga lockdown kwa wiki kadhaa ,wakati wanajilock walikuwa na kesi eidha moja na hazizidia kumi ,cha ajabu wameji unlock wakiwa na kesi 100+ za covid sasa hii ni hakili au matope,je mbinu zao za lockdown zimefanya kazi?
Nilitegemea nchi zilizojilockdown zijiunlock zikiwa na 0 cases za waathirika hapo ningeamini kuwa hii mbinu inafanya kazi,lakini kwa sasa hii mbinu ya lockdown imefeli kwa % 99.99 na ndio maana JPM the big brain kakataa kufanya huu upuuzi
Nakwambia kama unategemea kitu kama hiki kwa serikali ya awamu ya tano umeula wa chuya mkuu
Ushauri wangu kwako mkuu :andaa mahemezi yako yote dheni jipige lockdown ,wewe na family yako,weka namba zako za simu hapa tutakuwa tunakupasha kinachojiri
Sent using Jamii Forums mobile app