Shirika la haki za binadamu Tanzania, kuna haja ya kujipambanua

Shirika la haki za binadamu Tanzania, kuna haja ya kujipambanua

Mtyela Kasanda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
554
Reaction score
818
Mimi Sio Mataga.


Wasalaam ndugu zangu.

Shirika la haki za binadamu ni muhimu sana hasa kwa nchi zinazokua na zenye demokrasia changa kama Tanzania
Tanzania kumekua na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu; unafanywa na taasisi za serikali kwa sehemu kubwa pamoja na taasisi binafsi.
Kwahiyo uwepo wa shirika hili Tanzania ni wa umuhimu sana.

Sasa ajabu ni pale ambapo wanasheria wa hrw.org wanapokiuka msingi wa uwepo wa shirika hili.

Shirika hili ni kutetea haki za binadamu bila kujali calibre yake.

Wanasheria wa hrw.org Tanzania wamekua wazushi mno, wao ndio wa kwanza kuzushia watu vifo.

Ni haki zipi za msingi za binadamu mnazopigania kwa kuzushia watu vifo?

Kwanini tusiiseme serikali kwa mambo maovu yanayokiuka haki za binadamu baadala ya kuzua taharuki?

Watu wa hrw.org Tanzania hawatakiwi kuwa na woga na kutamani wengine wafe. Mwanasheria wa haki za binadamu unapaswa kua imara na kusimamia haki pande zote.
 
Back
Top Bottom