Kasie I love you I can't sleep without you my dear!.. I see your face when I close my eyes.. kasie it's only you my blood pressure is following you heart beat!..
Vitakuwa vitamu zaidi ukinisogelea karibu!.. nami nitakuazibu zaidi kwa michezo ya kiguru..πWeeeh Kenzy weeweee....
Unaniibia nini kizee mimi lakini ijumaa yote hiii.....!!!
Au umenidukua nilivyovaa leo nini ndomaana unanimwagia asali....π π π ππ½ππ½ππ½ππ½ Aaahahahahahhaaaaa looh.
Ila vitamu, niongezee tenaaa.....ππππ
Vitakuwa vitamu zaidi ukinisogelea karibu!.. nami nitakuazibu zaidi kwa michezo ya kiguru..π
Tule tupozi twako twakizee lazima tutakukana ukikutana nami.. hata ukiomba kamoyo kangu nitakupa na kakongosho zaidi..π
Unataka kunifilisi mwili wangu Sasa..πAahahahahahaa usisahau na kabandama na kakendele .....π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈ
Unataka kunifilisi mwili wangu Sasa..π
Tuzee nato huwa tuongo..πUkiisha wako tutatumia wangu π€£π€£π€£π€£π€£
Halafu ukijitolea sana Mungu anakutejeshea ulipopungukiwa mara kibao.
Chakula cha leo kitaamuuuu...... ππππ π π π π π
Tuzee nato huwa tuongo..π
Unanidendadenda tu unatafuta kijana wa kuzeeka nae.. hunipati we subiri nije nikutie mimba tu uzae sijui huyo mtoto atakuita mama au Bibi mi sijui nachojua ni kulenga tu..π
Ngoja vijana tunaojua kuvunja chaga tuzivunje Sasa na anavyoniita kwa jicho remburembu walahi nafwa mie.. nikutajie na jina lake...? Anaitwa malkia.. πHaya muda wako wa kuweka kishoka umeisha, pisha Dadii ashike usukano. Nataka kabla jua halijatoka alfajiri awe ashanifikisha unyanyembe kwetu na akinifikisha ananikandaa kisha nalala fofofo.
Nikiamka namuandalia karanga na asali na matobolwa nae aondoe uchovu wa safari ndefu.
Aaahahahahhahahaaaaa
Kizee Kitata Kasinde.
Hili smile ni Kama lile la kipindi kile jua likiwa saa sita, japo sikuwepo enzi zile.!!Yeeeyy.... vacation is around the corner πππ
Ngoja vijana tunaojua kuvunja chaga tuzivunje Sasa na anavyoniita kwa jicho remburembu walahi nafwa mie.. nikutajie na jina lake...? Anaitwa malkia.. π
Ngoja nikipishe hicho kigagula dk tano tu chali..ππ
Malkia wangu ndo kwanza ananipikia maji ya kuoga huku..π
Alale nani..? Mi nakula Kona kuna mrembo ananihitaji..πLeo utalala chumba cha wageni nanutakula vipapatio na shingo. Dadii amerudi leo namtengea mapaja ya kuku na mashed potatoes, madikodiko kama yote na mahaba juu.
Hili smile ni Kama lile la kipindi kile jua likiwa saa sita, japo sikuwepo enzi zile.!!
Samahani nje ya mada!!!
Kwa mbaaali japo si sana.. hujui hata kumfukuza mtu unatumia lugha ya mikwaruzo huna hata bembelezo!!. Tena kwa kijana rijali kama mimi! Utakosa Mambo shauli yako..π
Alale nani..? Mi nakula Kona kuna mrembo ananihitaji..π
Huyu waleo anapigo za kihindi!.. sahivi Tena ananipikia maji halafu nasikia li break fast la nguvu linaandaliwa!.. masaji nimeambiwa kwa upole kwamba baada ya nusu saa!... Anajipitisha na kinanilii chake hapa ..πAaahahahhahahahaaaa
Keeenndhyyyy
Pole kwa uchovu wa kujitakia πππππππππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈ
Natumai umeamshwa salama.
Huyu waleo anapigo za kihindi!.. sahivi Tena ananipikia maji halafu nasikia li break fast la nguvu linaandaliwa!.. masaji nimeambiwa kwa upole kwamba baada ya nusu saa!... Anajipitisha na kinanilii chake hapa ..π
Kasie masaji imeanza mama niache we hangaika na kigagula wako..πMwambie achanganye na maujuzi ya kiarabu akushikilie usitoke hadi jumatatu asubuhi.
Akuachie mapafu na kibofu tuu kwaajili ya kupumua na kukojo.
Vingine vyote avikontroo usifurukute π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kasie masaji imeanza mama niache we hangaika na kigagula wako..π
Na nimepewa mnong'onezo Tunaenda vacation moja amazing.. huyu nimempa paka unywele na mwenye wivu ajinyonge..π