Juma tatu lkn naja kwako hizi ni mbwembwe tu za kipozeo.. we ndo yule hakuna mkate mgumu mbele ya chai kwahiyo siwezi kukuluka hilo nalijua..ππHaya tulia unyolewe vizuri usijekatwa na kichupa buree au ukaungua na jivu π€£π€£π€£π€£
Wikiendi njema.
Juma tatu lkn naja kwako hizi ni mbwembwe tu za kipozeo.. we ndo yule hakuna mkate mgumu mbele ya chai kwahiyo siwezi kukuluka hilo nalijua..ππ
Nisipokuchekesha wewe ntamchekesha nani..?Bwana hemu niacheee mbavu zangu zinauma khaaaa, tangu jana usiku nachekaaaa tuu ππ
Nisipokuchekesha wewe ntamchekesha nani..?
We ndo mamito nyonga mkalia ini.. ulimi usiokuwa na mfupa Bali nakshinakshi za pwani zenye... Hapo zimalizii wasije mambemberu wakachukua Jimbo..π
J tatu nikute hiyo mihogo halafu tumetawala Uzi wa watu utafikiri tunajadili Mambo yamsingi..πAaahahahaha weeh acha mwenzio nikachume mihogo ya futari jioni.
Kuna mtu kaniambia nikachukue kiroba cha nazi ananipa bureee nikifate mkuranga.
Nnavopenda kupika mapishi ya nazi, naenda fastaaaπ