Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Pole sana mkuuNa kila wakiulizwa wanasema upo ethiopia wanautafuta nilikata tamaa zaidi Kwasababu NILIKATA JAMAA MWANASHERIA WA KAMPUNI INAITWA MROSO IPO DAR NA ARUSHA, AKANIAMBIA KWAKUWA SINA HELA ATANISAIDIA ILA ATADAI 100ML PAMOJA NA USUMBUFU, WANDUGU KWELI, SIKUWA TENA NA KITU ADI LEO JAMAA HAPOKEI SIMU YANGU
Hii ni mbaya, usiweke kichwa chini, haki haipotei ila itacheleweshwa, kwa bahati mbaya sana ukitumia muda na pesa kufukuzia hii haki kwa sasa utazama kabisa, ushauri wangu ni kwamba anza na biashara, na kila upatapo fursa fuatilia na shirika la ndege vya wanasheria wa hiyari sio hao commercial
kwa nilivyosikia, Mroso anapiga bei za juu sana