Shirika la ndege la Israel El Al laibuka na faida nono!!!

Shirika la ndege la Israel El Al laibuka na faida nono!!!

Manina apate faida? Huyo CAG wao muhuni
 
Labda ndugu zenu walio mtundika Yesu. Mimi lana haiwezi kunipata, Yesu na mheshimu ni katika Mtume wa Mungu. Nyie ndio mnalana kumzulia eti ni Mungu.
Acheni kung'ang'ania wayahudi. Mtume yenu NI kina Aisha, abubakar caliph, na Bilal.

Sisi wakristo hatunganini mudi .

Nyie mlivyo waajabu mmelipa uungu jiwe jeusi mnaliabudu Kwa kulisujudia.

Hovyo Kabisa.

Nyau de adriz
 
Acheni kung'ang'ania wayahudi. Mtume yenu NI kina Aisha, abubakar caliph, na Bilal.

Sisi wakristo hatunganini mudi .

Nyie mlivyo waajabu mmelipa uungu jiwe jeusi mnaliabudu Kwa kulisujudia.

Hovyo Kabisa.

Nyau de adriz
Nani kakuambia tuna ng'ang'ania Wayahudi ambao wana lana walio wauwa Mitume wa Mungu ni nyie tu wapagani mnawang'ang'ania hahaha, hata Yesu alisha wambia makenge wenzenu hivi; Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa taifa lenye kuzaa matunda yake.” Mathayo 21:43)

Hebu we Kenge tuambie taifa lipi au Yesu alipiga gongo na bangi kutokana na akili zenu?

Yesu ameweka wazi kwamba Nabii ambaye angekuja baada yake hakupaswa kuwa miongoni mwa Waisraeli, bali kutoka kwa taifa jingine - ndugu zao, Ismaili.
 
Ukiambiwa ulete walio laaniwa utawaleta wayahudi ambao leo hii wewe unajidai unatumia vitu vyao!! Computer,Smatphone,Google,YouTube na Mitandao ya kijamii na Internet ambavyo usingevitumia kama ugunduzi.

Niambie hao waarabu wamegundua nini kama si Ugaidi, kuteka nyara na kuua ovyo ovyo kwa sababu ya chuki zisizo na maana yoyote?..
 
Back
Top Bottom