REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Shirika la Ndege la
#Kenya
(KQ) limepata hasara ya TZS 91.3 bilioni ikiwa imepungua kwa asilimia 28.8 katika nusu ya mwaka iliyoishia Juni. Mkurugenzi wa KQ, Sebastian Mikosz amesema, gharama kubwa ya mafuta ndio inaleta changamoto katika uendeshaji wa shirika hilo.
Loss maker airlines 🛬 of all times ⌚
Your loss balance sheet margins are heading down to the earth's mantle now ⏬🔰🔻⤵️⬇️😊