Shirika la ndege la Precision lisimamishwe haraka kuruka anga la Tanzania kabla ya madhara makubwa kutokea

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Ndege za shirika hili zimechoka na hakuna proper maintenance. Mashirika makubwa yanatoa 10% ili kuwapatia abiria iwapo ndege ni mbovu.

Serikal isimamishe shirika hili kesho asubuhi. Waende kufanya biashara ya anga huko Kenya.

Mashirika yatumie ndege za serikali especially from Dodoma to Dar na kurudi.
 
Ndege Za shirika hili zimechoka na Hakuna proper maintenance
Mashirika makubwa Yamatos 10% Ili kuwapatia abiria iwapo ndege I mbovu.
Serikal isimamishe shirika huli Kesho asubuhi. Waendekufanya biashara ya anga Huko Kenya
Mashirika atumie Ndege Za serikali especially from Dodoma to Dar and na kurudi
💯 pia nashangaa bado wanapata abilia.
 
Ndege Za shirika hili zimechoka na Hakuna proper maintenance
Mashirika makubwa Yamatos 10% Ili kuwapatia abiria iwapo ndege I mbovu.
Serikal isimamishe shirika huli Kesho asubuhi. Waendekufanya biashara ya anga Huko Kenya
Mashirika atumie Ndege Za serikali especially from Dodoma to Dar and na kurudi
Alikuwepo Waziri alikuwa anaitwa Chibulunje kama sikosei, aliulizwa Bungeni kwanini ndege za ATC zinaendelea kuruka ilihali ni mbovu na hazifanyiwi matengenezo??

Akajibu;
Ni kweli ndege zetu ni mbovu na hazijafanyiwa mtengenezo, hii yote ni kwasababu tunataka kulilinda shirika liendelee kutoa huduma, zikipelekwa kwenye matengenezo huduma zitasimama
 
Alisikika maamuma asiye na uelewa wa vitu adimu
 
Ndege Za shirika hili zimechoka na Hakuna proper maintenance
Mashirika makubwa Yamatos 10% Ili kuwapatia abiria iwapo ndege I mbovu.
Serikal isimamishe shirika huli Kesho asubuhi. Waendekufanya biashara ya anga Huko Kenya
Mashirika atumie Ndege Za serikali especially from Dodoma to Dar and na kurudi
Noo! Hapa kama hakuna maslah nadhan ingesemwa ndege zote ziwe under maintenance kwa wataalam wa nyanja husika ikiwemo wa gavoo!! Changamoto za usafir wa anga zipo mpaka ulaya tena san tu, mara imepata hitilafu, mara ingine imeungua, mara tair zimegoma kutoka!! Hii ni vita ya kubiashara precision ana wateja weng san!!
 
Alikuwepo Waziri alikuwa anaitwa Chibulunje kama sikosei, aliulizwa Bungeni kwanini ndege za ATC zinaendelea kuruka ilihali ni mbovu na hazifanyiwi matengenezo??

Akajibu;
Ni kweli ndege zetu ni mbovu na hazijafanyiwa mtengenezo, hii yote ni kwasababu tunataka kulilinda shirika liendelee kutoa huduma, zikipelekwa kwenye matengenezo huduma zitasimama
Qmmmke mjinga huyo anataka atuue
 
Qmmmke mjinga huyo anataka atuue
Yule na Ragge hawana tofauti, Ragge aliulizwa kwanini amekwenda na pisto kwenye mkutano wa hadhara, akasema "mimi nilificha silaha kiunoni, tatizo ni upepo ullipuliza shati silaha ikaonekana kwa wananchi"
 
Watanzania hahawezekani kwa komedi: Ilipofungiwa Fastject kwa matatizo kama haya ya Precisionair wakatoa lawama kali dhidi ya kiongozi aliyekuwapo, wakati huo. Leo kuna kipenzi anafungulia nchi bado wanataka afanye kama alivyofanya yule mbaya wa dunia. Hatuchoki kuchekesha.
 
Yule na Ragge hawana tofauti, Ragge aliulizwa kwanini amekwenda na pisto kwenye mkutano wa hadhara, akasema "mimi nilificha silaha kiunoni, tatizo ni upepo ullipuliza ikaonekana kwa wananchi"
😁😁

Kama demu wangu zamani hio namuuliza kwnn unachat msg za kijinga na wanaume ma ex wako

Akakasirika kwnn nimeshika simu yake Yani ndo anacholalamikia
 
Ndege za shirika hili zimechoka na hakuna proper maintenance. Mashirika makubwa yanatoa 10% ili kuwapatia abiria iwapo ndege ni mbovu.

Serikal isimamishe shirika hili jesho asubuhi. Waende kufanya biashara ya anga huko Kenya.
Mashirika yatumie ndege za serikali especially from Dodoma to Dar na kurudi.
Nafikiri ni wakati muafaka kwa serikali kubinafsisha ATCL kwa kuwapa Precision Air waendeshe mambo kwani PA wanauzoefu mkubwa na mafanikio vinginevyo ATCL itakufa.
 
Ndege za shirika hili zimechoka na hakuna proper maintenance. Mashirika makubwa yanatoa 10% ili kuwapatia abiria iwapo ndege ni mbovu.

Serikal isimamishe shirika hili jesho asubuhi. Waende kufanya biashara ya anga huko Kenya.
Mashirika yatumie ndege za serikali especially from Dodoma to Dar na kurudi.
Mara ya mwisho nilipopanda niliapa sitarudia kuipanda tena.

Ukiwa angani ndege inapiga kelele za mabati utafikiri umepanda lori la mnadani.
 
Naomba ni kukatishe kidogo.
Nilitaka kuanzisha uzi ila rudi kuna uzi moja nilieleza kuhusu biashara za ndege kuwa kichaa.

Leo kumetokea maswali kuhusu ndege iliyofika dodoma na kurudi dar.

Watu wengi wanajua ndege inafanana na gari utendaji sababu ina injini.
Sio kabisa.

Injini ya ndege ilipata itilafu sio ilishindwa kutua bali ingeruka tena ingeshindwa kusolve.
Mfumo wa injini za ndege na mifumo ya umeme wa ndege ina njia nyingi za kusolve pindi itakapotekea tatizo ikiwa angani.

Kumbuka hapo dodoma kampuni hii hakuna mafundi endepo itafika na kushindwa kuondoka.ikaona kurudi ili kurahisisha sababu dar ndio gereji kubwa.

Pili bado kuna changamoto viwanja vya ndege.
Embu pitieni UZI wangu muweze kujadili
 
Ndege za shirika hili zimechoka na hakuna proper maintenance. Mashirika makubwa yanatoa 10% ili kuwapatia abiria iwapo ndege ni mbovu.

Serikal isimamishe shirika hili jesho asubuhi. Waende kufanya biashara ya anga huko Kenya.
Mashirika yatumie ndege za serikali especially from Dodoma to Dar na kurudi.
Hii ni sawa na kesi ya Nyani ukamshitakie Tumbili

Hiyo Serikali yenyewe ngeanza kujifungia na kusimamisha ndege zake za ATC kwanza
 
Back
Top Bottom