Real64
Member
- Feb 17, 2014
- 28
- 32
Umeongea vizuri sana,katika suala la biashara Precision wanaijua biashara ila ATC kiukweli ule userikali na kila mtu kujiona ana mabawa kunawaharibia sana.Nafikiri ni wakati muafaka kwa serikali kubinafsisha ATCL kwa kuwapa Precision Air waendeshe mambo kwani PA wanauzoefu mkubwa na mafanikio vinginevyo ATCL itakufa.