peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
π― pia nashangaa bado wanapata abilia.Ndege Za shirika hili zimechoka na Hakuna proper maintenance
Mashirika makubwa Yamatos 10% Ili kuwapatia abiria iwapo ndege I mbovu.
Serikal isimamishe shirika huli Kesho asubuhi. Waendekufanya biashara ya anga Huko Kenya
Mashirika atumie Ndege Za serikali especially from Dodoma to Dar and na kurudi
Alikuwepo Waziri alikuwa anaitwa Chibulunje kama sikosei, aliulizwa Bungeni kwanini ndege za ATC zinaendelea kuruka ilihali ni mbovu na hazifanyiwi matengenezo??Ndege Za shirika hili zimechoka na Hakuna proper maintenance
Mashirika makubwa Yamatos 10% Ili kuwapatia abiria iwapo ndege I mbovu.
Serikal isimamishe shirika huli Kesho asubuhi. Waendekufanya biashara ya anga Huko Kenya
Mashirika atumie Ndege Za serikali especially from Dodoma to Dar and na kurudi
Alisikika maamuma asiye na uelewa wa vitu adimuNdege Za shirika hili zimechoka na Hakuna proper maintenance
Mashirika makubwa Yamatos 10% Ili kuwapatia abiria iwapo ndege I mbovu.
Serikal isimamishe shirika huli Kesho asubuhi. Waendekufanya biashara ya anga Huko Kenya
Mashirika atumie Ndege Za serikali especially from Dodoma to Dar and na kurudi
Noo! Hapa kama hakuna maslah nadhan ingesemwa ndege zote ziwe under maintenance kwa wataalam wa nyanja husika ikiwemo wa gavoo!! Changamoto za usafir wa anga zipo mpaka ulaya tena san tu, mara imepata hitilafu, mara ingine imeungua, mara tair zimegoma kutoka!! Hii ni vita ya kubiashara precision ana wateja weng san!!Ndege Za shirika hili zimechoka na Hakuna proper maintenance
Mashirika makubwa Yamatos 10% Ili kuwapatia abiria iwapo ndege I mbovu.
Serikal isimamishe shirika huli Kesho asubuhi. Waendekufanya biashara ya anga Huko Kenya
Mashirika atumie Ndege Za serikali especially from Dodoma to Dar and na kurudi
Qmmmke mjinga huyo anataka atuueAlikuwepo Waziri alikuwa anaitwa Chibulunje kama sikosei, aliulizwa Bungeni kwanini ndege za ATC zinaendelea kuruka ilihali ni mbovu na hazifanyiwi matengenezo??
Akajibu;
Ni kweli ndege zetu ni mbovu na hazijafanyiwa mtengenezo, hii yote ni kwasababu tunataka kulilinda shirika liendelee kutoa huduma, zikipelekwa kwenye matengenezo huduma zitasimama
Yule na Ragge hawana tofauti, Ragge aliulizwa kwanini amekwenda na pisto kwenye mkutano wa hadhara, akasema "mimi nilificha silaha kiunoni, tatizo ni upepo ullipuliza shati silaha ikaonekana kwa wananchi"Qmmmke mjinga huyo anataka atuue
ππYule na Ragge hawana tofauti, Ragge aliulizwa kwanini amekwenda na pisto kwenye mkutano wa hadhara, akasema "mimi nilificha silaha kiunoni, tatizo ni upepo ullipuliza ikaonekana kwa wananchi"
π€£ππ
Kama demu wangu zamani hio namuuliza kwnn unachat msg za kijinga na wanaume ma ex wako
Akakasirika kwnn nimeshika simu yake Yani ndo anacholalamikia
Nafikiri ni wakati muafaka kwa serikali kubinafsisha ATCL kwa kuwapa Precision Air waendeshe mambo kwani PA wanauzoefu mkubwa na mafanikio vinginevyo ATCL itakufa.Ndege za shirika hili zimechoka na hakuna proper maintenance. Mashirika makubwa yanatoa 10% ili kuwapatia abiria iwapo ndege ni mbovu.
Serikal isimamishe shirika hili jesho asubuhi. Waende kufanya biashara ya anga huko Kenya.
Mashirika yatumie ndege za serikali especially from Dodoma to Dar na kurudi.
Mara ya mwisho nilipopanda niliapa sitarudia kuipanda tena.Ndege za shirika hili zimechoka na hakuna proper maintenance. Mashirika makubwa yanatoa 10% ili kuwapatia abiria iwapo ndege ni mbovu.
Serikal isimamishe shirika hili jesho asubuhi. Waende kufanya biashara ya anga huko Kenya.
Mashirika yatumie ndege za serikali especially from Dodoma to Dar na kurudi.
Hii ni sawa na kesi ya Nyani ukamshitakie TumbiliNdege za shirika hili zimechoka na hakuna proper maintenance. Mashirika makubwa yanatoa 10% ili kuwapatia abiria iwapo ndege ni mbovu.
Serikal isimamishe shirika hili jesho asubuhi. Waende kufanya biashara ya anga huko Kenya.
Mashirika yatumie ndege za serikali especially from Dodoma to Dar na kurudi.