ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Kwa usiri huu hatusogei tutaishia madeni tyuuuuuGood point, kifo cha panzi...acha SAA wawe mufilisi, maana hata safari za Joburg zitalipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa usiri huu hatusogei tutaishia madeni tyuuuuuGood point, kifo cha panzi...acha SAA wawe mufilisi, maana hata safari za Joburg zitalipa
Tunajifunza mafanikio ya wenye mafanikio, na pia tunajifunza mafanikio ya waliofeli.
Black skin Sijui tuna shida gani kuhusu management.. ukikuta biashara kubwa ya wabongo weusi imesimama kwa Miaka 10..Ni Jambo la kumshukuru Mungu, Ukienda nje ya Nchi unapata wivu kuona a lots of family companies Zina historical ya Miaka 50 kuendelea, yaani mtoto anasoma na kuandaliwa kuongoza biashara za family. Black skin akifa Mtu na biashara zake zinamfuata..back to the topic kuhusu ATCL kwa Sasa tunyamaze kimya siku azigandi..2026..Akiwa chato anaitwa mstaafu ukweli utajulikana tu.Shirika la ndege la ndege la South Africa, lenye jumla ya ndege karibu 50 kubwa, za kati na ndogo, liko katika hali mbaya kiuchumi kiasi linakaribia kuwa mufilisi.
Shirika hili kwa miaka mingi limekuwa likijiendesha kwa kutegemea ruzuku za serikali bila kuwa na uwezo wa kusimama kwa miguu yake. Kwa miaka saba iliyopita limeripoti hasara ya mabilioni ya shilingi.
(SAA) wana network ya karibu safari 40 kwenda nchi 26 duniani, wakitumia ndege za Airbus pekee kubeba abiria, kutia ndani Airbus 340-600 ambazo ziko tisa, wakiwa na mpango wa kukodisha ndege mpya nne za Airbus 350-900 kuanzia mwezi huu December. Katika ndege 50 walizonazo, 2 ni Boeing 737-300 ambazo ni cargo planes.
Jambo ambalo Watanzania tunapaswa kukazia ni uendeshaji wa shirika hili katika karibu miaka 20 iliyopita. Kwa kiasi kikubwa, shirika limeendeshwa kisiasa na kiupendeleo, hasa katika uteuzi wa wakurugenzi wake.
Kulikuwa na kasi ya kutaka kubadilisha wazungu ili nafasi zao zichukuliwe na watu weusi, hata pale ambapo watu weusi walikuwa hawana sifa zinazostahili, katika kile kilichaitwa Black Economic Empowerment (BEE) na Affirmative Action employment.
Inasemekana mwaka 2007 na 2008 (SAA) walipopata hasara, uongozi wa kizungu ulirudishwa, ambao uliiwezesha (SAA) kurudi kupata faida mwaka 2009 hadi 2011.
Baada ya faida ya miaka mitatu mfulilizo, uongozi wa kizungu uliondolewa tena na kuwekwa wazalendo weusi, na shirika likarudi kwenye hasara tena kuanzia 2012 hadi leo 2019!
Mara nyingi wakurugenzi wazalendo weusi walipoteuliwa walifanya ufujaji wa kutisha wa fedha, kutia ndani ticket za bure kwa ndugu, jamaaa na marafiki na matumizi ya starehe ya fedha za shirika.
Kwa mfano, kuna mkurugenzi mmoja alikuwa akienda kazini na kurudi nyumbani kwa helikopta ya kukodi akidai kukwepa msongamano wa magari asubuhi na jioni, na kumpa mke wake tenda ya huduma ya chakula cha kwenye ndege. Aliachishwa kazi kwa haya makosa.
Na pia uteuzi wa viongozi wa juu wa (SAA) mara nyingi umegubikwa na vivuli vya uteuzi wa kisiasa na upendeleo bila kuangalia uwezo.
Wakati fulani kulikuwa na tuhuma kwamba Mwenyekiti wa SAA aliyekuwa mwanamke aliteuliwa kwa kuwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na raisi wa nchi hiyo.
Je, Tanzania tuna jambo la kujifunza kutokana na yale ambayo SAA inakabili? Je wazungu wanatuzidi katika mambo ya ku-manage mashirika? Tulete wazungu kutuendeshea ATCL kwa faida?
Reference: Desperation time for SAA
Hasara ya ATCL ni tayari huku bado tunanunua ndege hovyo hovyo kama vile tunanunua toy za kuchezea. Nawaambieni ni suala la muda tu, na hakuna jambo litakalofichwa kama hasara ya ATCL. Mashirika mengi sana makubwa ya ndege duniani yanaendeshwa kwa hasara, sisi hatufanyi utafiti kabla tunafanya mambo ya kujiletea sifa za kupuuzi kwa hasara ya walipa kodi.Shirika la ndege la ndege la South Africa, lenye jumla ya ndege karibu 50 kubwa, za kati na ndogo, liko katika hali mbaya kiuchumi kiasi linakaribia kuwa mufilisi.
Shirika hili kwa miaka mingi limekuwa likijiendesha kwa kutegemea ruzuku za serikali bila kuwa na uwezo wa kusimama kwa miguu yake. Kwa miaka saba iliyopita limeripoti hasara ya mabilioni ya shilingi.
(SAA) wana network ya karibu safari 40 kwenda nchi 26 duniani, wakitumia ndege za Airbus pekee kubeba abiria, kutia ndani Airbus 340-600 ambazo ziko tisa, wakiwa na mpango wa kukodisha ndege mpya nne za Airbus 350-900 kuanzia mwezi huu December. Katika ndege 50 walizonazo, 2 ni Boeing 737-300 ambazo ni cargo planes.
Jambo ambalo Watanzania tunapaswa kukazia ni uendeshaji wa shirika hili katika karibu miaka 20 iliyopita. Kwa kiasi kikubwa, shirika limeendeshwa kisiasa na kiupendeleo, hasa katika uteuzi wa wakurugenzi wake.
Kulikuwa na kasi ya kutaka kubadilisha wazungu ili nafasi zao zichukuliwe na watu weusi, hata pale ambapo watu weusi walikuwa hawana sifa zinazostahili, katika kile kilichaitwa Black Economic Empowerment (BEE) na Affirmative Action employment.
Inasemekana mwaka 2007 na 2008 (SAA) walipopata hasara, uongozi wa kizungu ulirudishwa, ambao uliiwezesha (SAA) kurudi kupata faida mwaka 2009 hadi 2011.
Baada ya faida ya miaka mitatu mfulilizo, uongozi wa kizungu uliondolewa tena na kuwekwa wazalendo weusi, na shirika likarudi kwenye hasara tena kuanzia 2012 hadi leo 2019!
Mara nyingi wakurugenzi wazalendo weusi walipoteuliwa walifanya ufujaji wa kutisha wa fedha, kutia ndani ticket za bure kwa ndugu, jamaaa na marafiki na matumizi ya starehe ya fedha za shirika.
Kwa mfano, kuna mkurugenzi mmoja alikuwa akienda kazini na kurudi nyumbani kwa helikopta ya kukodi akidai kukwepa msongamano wa magari asubuhi na jioni, na kumpa mke wake tenda ya huduma ya chakula cha kwenye ndege. Aliachishwa kazi kwa haya makosa.
Na pia uteuzi wa viongozi wa juu wa (SAA) mara nyingi umegubikwa na vivuli vya uteuzi wa kisiasa na upendeleo bila kuangalia uwezo.
Wakati fulani kulikuwa na tuhuma kwamba Mwenyekiti wa SAA aliyekuwa mwanamke aliteuliwa kwa kuwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na raisi wa nchi hiyo.
Je, Tanzania tuna jambo la kujifunza kutokana na yale ambayo SAA inakabili? Je wazungu wanatuzidi katika mambo ya ku-manage mashirika? Tulete wazungu kutuendeshea ATCL kwa faida?
Reference: Desperation time for SAA
Mkuu una maanisha ma "air hostages"?Labda walijikuta wanaokwenda Mpanda ni pilots na wahudumu wa ndege peke yao!
Ewaaa! Mara nyingine nafikiria maamuzi juu ya uendeshaji wa TTCL unafanywa na watu ambao hawajui hata hawa wahudumu wanaitwaje, tutafika? Busara ni kwamba usiingilie kabisa uendeshaji wa TTCL.Mkuu una maanisha ma "air hostages"?
Shirika la ndege la ndege la South Africa, lenye jumla ya ndege karibu 50 kubwa, za kati na ndogo, liko katika hali mbaya kiuchumi kiasi linakaribia kuwa mufilisi.
Shirika hili kwa miaka mingi limekuwa likijiendesha kwa kutegemea ruzuku za serikali bila kuwa na uwezo wa kusimama kwa miguu yake. Kwa miaka saba iliyopita limeripoti hasara ya mabilioni ya shilingi.
(SAA) wana network ya karibu safari 40 kwenda nchi 26 duniani, wakitumia ndege za Airbus pekee kubeba abiria, kutia ndani Airbus 340-600 ambazo ziko tisa, wakiwa na mpango wa kukodisha ndege mpya nne za Airbus 350-900 kuanzia mwezi huu December. Katika ndege 50 walizonazo, 2 ni Boeing 737-300 ambazo ni cargo planes.
Jambo ambalo Watanzania tunapaswa kukazia ni uendeshaji wa shirika hili katika karibu miaka 20 iliyopita. Kwa kiasi kikubwa, shirika limeendeshwa kisiasa na kiupendeleo, hasa katika uteuzi wa wakurugenzi wake.
Kulikuwa na kasi ya kutaka kubadilisha wazungu ili nafasi zao zichukuliwe na watu weusi, hata pale ambapo watu weusi walikuwa hawana sifa zinazostahili, katika kile kilichaitwa Black Economic Empowerment (BEE) na Affirmative Action employment.
Inasemekana mwaka 2007 na 2008 (SAA) walipopata hasara, uongozi wa kizungu ulirudishwa, ambao uliiwezesha (SAA) kurudi kupata faida mwaka 2009 hadi 2011.
Baada ya faida ya miaka mitatu mfulilizo, uongozi wa kizungu uliondolewa tena na kuwekwa wazalendo weusi, na shirika likarudi kwenye hasara tena kuanzia 2012 hadi leo 2019!
Mara nyingi wakurugenzi wazalendo weusi walipoteuliwa walifanya ufujaji wa kutisha wa fedha, kutia ndani ticket za bure kwa ndugu, jamaaa na marafiki na matumizi ya starehe ya fedha za shirika.
Kwa mfano, kuna mkurugenzi mmoja alikuwa akienda kazini na kurudi nyumbani kwa helikopta ya kukodi akidai kukwepa msongamano wa magari asubuhi na jioni, na kumpa mke wake tenda ya huduma ya chakula cha kwenye ndege. Aliachishwa kazi kwa haya makosa.
Na pia uteuzi wa viongozi wa juu wa (SAA) mara nyingi umegubikwa na vivuli vya uteuzi wa kisiasa na upendeleo bila kuangalia uwezo.
Wakati fulani kulikuwa na tuhuma kwamba Mwenyekiti wa SAA aliyekuwa mwanamke aliteuliwa kwa kuwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na raisi wa nchi hiyo.
Je, Tanzania tuna jambo la kujifunza kutokana na yale ambayo SAA inakabili? Je wazungu wanatuzidi katika mambo ya ku-manage mashirika? Tulete wazungu kutuendeshea ATCL kwa faida?
Reference: Desperation time for SAA
Halafu hivi kwa nini tumewapa Kenya Airways safari kibao za Dar-Nairobi kwa siku na sie hatuna hata moja kwa ajili ya ATCL? Kwa nini hauwapunguzii KQ ili tuchukue baadhi ya hizo safari?Kigoma hadi leo hatujaunganishwa kwa laki.. shame!!
Ni kwa kuwa tunafanya mambo kwa kupenda sifa au kwa ajili ya umaarufu wa kisiasa! Unajua ujiko wa kisiasa unaotokana na sherehe ya kupokea Dreamliner tuliyonunua kwa pesa yetu wenyewe? Hayo mambo mengine ya kama tutaendesha shirika kwa faida au hasara hayachukui uzito. Tunaweza kuagiza Dreamliner sita kwa ajili ya ujiko tu, na kuzi park bila kazi baada ya sherehe ya kuzipokea, maana tunaagiza bila hata kuwa tumepanga zitakwenda wapi au kama tayari tuna mapailot wa kuziendesha! Tukishauriwa tunasema sipangiwi!Angalia kampuni za simu hapa nchi I zinazoendeshwa na mataifa mwingine halafu compare na TTCL huo ni mfano tu
Kwa kweli tunaitaji mataifa mengine kutusaidia uendeshaji wabongo wengi ni wapigaji
Mkuu, hivi unategemea unaweza kutangaziwa kwamba ATCL inapata hasara, hata kama ni kweli inapata hasara? Ili viongozi wa upinzani wapate jambo la kumzodoa Magufuli? Kwa hiyo usitilie maanani sana ukiambiwa ATCL inapata faidaMbona nimesikia sisi tunapata faida,hao jama itakuwa hawajui biashara ya ndege,watukodishe kama vipi tuongeze route mpaka Washington DC.