Shirika la ndege la taifa la Israel kusitisha safari za ndege kuelekea Afrika Kusini

Shirika la ndege la taifa la Israel El Al litaacha kutoa safari za ndege kwenda Afrika Kusini kuanzia mwisho wa Machi, shirika hilo la ndege lilisema Ijumaa, likitaja kupungua kwa mahitaji ya wateja.

“Kutokana na hali ya usalama ilivyo sasa, kumekuwa na upungufu mkubwa wa mahitaji ya wasafiri wa Israel wanaokwenda maeneo mbalimbali, ikiwemo Johannesburg nchini Afrika Kusini,”El Al ilisema katika taarifa yake.

"Kwa kuzingatia hili, kuanzia mwishoni mwa Machi 2024, tutasimamisha shughuli kwenye njia ya Johannesburg-Tel Aviv."

Tangazo hilo linakuja muda mfupi kabla ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kutoa uamuzi wa awali kuhusu iwapo itaiamuru Israel kusitisha operesheni zake za kijeshi huko Gaza.

Kesi hiyo katika mahakama ya ICJ ni sehemu ya kesi iliyoletwa na Afrika Kusini, ikiishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.

Israel inakanusha vikali shtaka hilo.

Afrika Kusini imekuwa muungaji mkono mkubwa wa Wapalestina katika mzozo unaoendelea, na kusababisha mvutano na Israel.

Chanzo: BBC
HII SAFI KWA SA,kutofanya biashara na mashoga ni BARAKA...
 
Imeona hakuna mauaji ya kimbali wakati kwenye nakala ya hukumu ina itaka Israel ishitishe mauaji ya kimbali dhidi ya wapalestina?
Hivi nyinyi majitu mbona hamna akili?
English itakuwa tatizo labda hukumu ingetoka kwa kiswahili angeelewa
 
Sasa na Ile Mall kubwa zaidi pale Johannesburg ya Emperor Palace itakuwaje? Maana ni ya Waisrael lilikuwa kijiwe changu sana pale
 
South Africa walikurupuka kushtaki Israeli. Waliongozwa na mihemuko na chuki badala ya ukweli. Mahakama ya The Hague imeona hakuna Genocide huko Gaza 🤔
Upo makini hakuna masiala ktk kauli yako hii?
Baadhi ya washirika wa Israel na Marekani wa Ulaya wameanza kupinga kinachoendelea Gaza.

Afrika Kusini hawajakurupuka lazima na wao watetee wengine kama walivyo tetewa wao enzi za 'apartheid'. Wanajua mateso wanayo pitia wapalestina.

Sishabikii upuuzi na ukatili walio fanya maghaidi wa Hamas dhidi ya waisrael na wageni. Yanatokea kwao ni matokeo ya upumbavu wao.
 
Wanajua mateso wanayo pitia wapalestina.
Palestine ni propaganda. Hakuna mateso wanayopitia zaidi ya kung'ang'ania maeneo ambayo siyo yao. Israeli na Mji wake wa Jerusalem ni wa Wayahudi kwa zaidi ya miaka 3000 kabla ya hata neno Palestine kuwepo. Kabla ya huo msikiti wa Alaqsa kujengwa, eneo hilo, kulikuwa na helalu la wayahudi la Suleman kabla ya hata Kristo kuzaliwa.Hilo eneo si la wapalestina!
 
Baadhi ya washirika wa Israel na Marekani wa Ulaya wameanza kupinga kinachoendelea Gaza.
Ulaya na Marekani wamejaa waislamu na Waarabu, ambao ni wapiga kura wa wanasiasa na hata kuwa kwenye vyombo vya maamuzi kama Bunge. Wao kupinga Israeli haimaanishi kuwa huo ndio ukweli!
 
Shirika la ndege la taifa la Israel El Al litaacha kutoa safari za ndege kwenda Afrika Kusini kuanzia mwisho wa Machi, shirika hilo la ndege lilisema Ijumaa, likitaja kupungua kwa mahitaji ya wateja.

“Kutokana na hali ya usalama ilivyo sasa, kumekuwa na upungufu mkubwa wa mahitaji ya wasafiri wa Israel wanaokwenda maeneo mbalimbali, ikiwemo Johannesburg nchini Afrika Kusini,”El Al ilisema katika taarifa yake.

"Kwa kuzingatia hili, kuanzia mwishoni mwa Machi 2024, tutasimamisha shughuli kwenye njia ya Johannesburg-Tel Aviv."

Tangazo hilo linakuja muda mfupi kabla ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kutoa uamuzi wa awali kuhusu iwapo itaiamuru Israel kusitisha operesheni zake za kijeshi huko Gaza.

Kesi hiyo katika mahakama ya ICJ ni sehemu ya kesi iliyoletwa na Afrika Kusini, ikiishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.

Israel inakanusha vikali shtaka hilo.

Afrika Kusini imekuwa muungaji mkono mkubwa wa Wapalestina katika mzozo unaoendelea, na kusababisha mvutano na Israel.

Chanzo: BBC
Ikiwezekana wasipeleke kabisa ndege zao Africa
 
South Africa walikurupuka kushtaki Israeli. Waliongozwa na mihemuko na chuki badala ya ukweli. Mahakama ya The Hague imeona hakuna Genocide huko Gaza 🤔
Tazama nae huyu Muisraeli wa Bonyokwa mara amegeuka kuwa msemaji wa The Hague. Na katoa tamko tofauti na mahakama yake ilioko kichwani.
🤣🤣🤣
Yaani kila nikitaka kuhama JF nashindwa.
Ni vituko full.
 
South Africa walikurupuka kushtaki Israeli. Waliongozwa na mihemuko na chuki badala ya ukweli. Mahakama ya The Hague imeona hakuna Genocide huko Gaza [emoji848]
We mbona unachekesha watu? South wameshinda kesi au atleast kesi yao ina mashiko. Huo ndo uamuzi uliotoka
 
Palestine ni propaganda. Hakuna mateso wanayopitia zaidi ya kung'ang'ania maeneo ambayo siyo yao. Israeli na Mji wake wa Jerusalem ni wa Wayahudi kwa zaidi ya miaka 3000 kabla ya hata neno Palestine kuwepo. Kabla ya huo msikiti wa Alaqsa kujengwa, eneo hilo, kulikuwa na helalu la wayahudi la Suleman kabla ya hata Kristo kuzaliwa.Hilo eneo si la wapalestina!
Wewe ukitoa tamko tofauti na PAPA utafukuzwa kazi hapo Paroko ya Himo kwahio utaendelea kukariri utumbo mpk siku unaaga Dunia.
Biblia imesema Wayahudi ni Taifa Teule kwahio hawa jamaa hata wakikubaka wewe na yyt wa karibu yako lzm ujipinge mwenyewe na ukatae kuwa Hawajakubaka bali walikuwa wanakutolea pepo tu.
Manake pale utakaposema umebakwa na Taifa teule hapo hapo inabidi uuage ukafiri. Na wewe bila hicho kibarua cha paroko choo huendi.
 
We mbona unachekesha watu? South wameshinda kesi au atleast kesi yao ina mashiko. Huo ndo uamuzi uliotoka
We huna habari huyu Jackal ni msemaji wa Mahakama yake ya The Hague ilioko kicwani mwake muda mrefu?
Hivi karibuni atakuwa mmoja ktk MAJAJI WAKUU.🤣🤣

Nikimwambia Bangi na Njaa haviendani anakuwa mkali na matusi kibao.
 
Palestine ni propaganda. Hakuna mateso wanayopitia zaidi ya kung'ang'ania maeneo ambayo siyo yao. Israeli na Mji wake wa Jerusalem ni wa Wayahudi kwa zaidi ya miaka 3000 kabla ya hata neno Palestine kuwepo. Kabla ya huo msikiti wa Alaqsa kujengwa, eneo hilo, kulikuwa na helalu la wayahudi la Suleman kabla ya hata Kristo kuzaliwa.Hilo eneo si la wapalestina!
Miaka 3000 ipi tokea mwaka 1948 mpaka sasa imefika hata miaka [emoji817]?
 
Huyo kasoma kwenye biblia mstari flank kisha kapiga hesabu zake za kiupako ndio akapata hio miaka 3000.
Msamehe bure. Ni mwanakondoo aliyepotea kifikra.
 
Back
Top Bottom