Hawana ni kuwa tumezubaa tuHivi Mashirika ya Ndege wana kinga ya kutoshtakiwa kwa kupoteza Muda wa Watu?
Maana hii sio mara ya kwanza.

Kwa ambao haiendi sawa huwa hawasali?Pengine wewe itaenda sawa mkuu, ila sali sana
Wachawi na waoamini uchawi upo, ukiwabana kwamba uchawi hauna faida wanabisha,ongea na wenyeji vizuri, usafiri wa anga sio ndege tu. Kuna chuma cha ungo falcon 9.
Kuna mmoja juzi kabisha mpka akalia nikashangaa sanaWachawi na waoamini uchawi upo, ukiwabana kwamba uchawi hauna faida wanabisha,
Tulitakiwa tuwe na ruti za juu tu, hata madeni ya bombadia yasingetupata.
hUa wanasema "hujakutana nayo tu"Kuna mmoja juzi kabisha mpka akalia nikashangaa sana
Akili inapofikia ukomo wa kutatua changamoto, huu ujinga ndpo unapoanziahUa wanasema "hujakutana nayo tu"
Naunga mkono hoja mkuuAkili inapofikia ukomo wa kutatua changamoto, huu ujinga ndpo unapoanzia
CEO mnachaguana kama wajumbe wa Nyumba kumi. Uganda Airlines wamemtimua yule kuilaza wa kwao na sasa wamepata mu-Ethiopia mwenye experience ya airlines management . Hapo ATCL mtu wa marketing tu ni kichekeshoSafari yangu ya kurejea Dar es salaam baada ya kukamilisha kazi yangu Bukoba imeanza asubuhi ya Februari 21, 2026 kwa ndege TC 101, mali ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Kasheshe imeanzia uwanja wa Ndege wa Bukoba, hauna umeme.
Baada ya kuwekwa foleni kwa masaa 3, baadae ilibidi wahudumu waanze kukagua msafiri mmoja mmoja manually kwa kumwaga chini vitu vyote kwenge begi na vifungashio bila kujali umebeba nini. Aibu gani hii?
Jambo hili lilifanya ndege ikawie kwa zaidi ya saa 1. Karne hii uwanja wa ndege unakosa backup ya Jenereta? Tiketi zinaandikwa kwa mikono. Ni maajabu!
Baada ya kufika Mwanza mchana, ilibidi nichukue hotel nipumzike kidogo, na baadae saa 3:30 usiku kusogea airport ili niendelee na safari yangu ya DSM kwa TC 103 (Air Tanzania). Kumbuka, safari hii awali ilikuwa nisafiri saa 5:30 usiku, juzi nikapata email imepelekwa saa 7 usiku, lakini nilipokuwa hotelini nikaamua kupiga simu ATCL kuhakikisha, nikaambiwa imerudishwa saa 5:30 usiku. What a confusion!
Baada ya kufika airport saa 3:40 usiku, nilikuta mlango umefungwa, watu wamejaa, check in haijaanza. Nikajiongeza tu kuwa hapa safari hakuna.
Baadaye kama saa 4:10 hivi mlango ulifunguliwa, kufika ndani sehemu ya kupata tiketi mdada aliyekuwa anahusika akanipa taarifa kwamba safari imepelekwa tena saa 7 usiku. Nilichoka.
Ikabidi nisubiri hiyo saa 7. Ukimya ukatawala, na baada ya watu kuanza kuhoji ndipo wahusika wa uwanja wakatangaza Ndege haiji, nimeenda Kilimanjaro kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi, na hakutoa majibu ya itakuja lini na saa ngapi Mwanza. Fikiria, ndege imebadilishiwa muda wa safari mara 3, umefika airport umefanya check in, unasubiri muda wa safari, kisha unaambiwa haiji, na huna uwezo wa kutoka nje ya Airport.
ATCL, kwanini mnatesa abiria? Kuna wanawake wajawazito hapa, watoto wachanga, wazee, lakini hata sisi vijana hatupaswi kufanyiwa hivi.
Namaliza kwa wito, wakumbukeni abiria hawa. Pelekeni ndege Mwanza ibebe abiria wenu wanaoteseka kwa hela waliyolipia wao wenyewe. Acheni kufanya kama usafiri huu ni hisani. Wapatieni huduma inayostahili.
UPDATE: Saa 11:50 Asubuhi mlango emefunguliwa abiria waingie kwenye mabasi waelekee sehemu ya kupanda ndege. Mfumo wa ku scan tiketi umegoma, abiria wamenzisha vurugu, imebidi waruhusiwe kwenda kupanda bila ku scan.
Saa 12: 19 Asubuhi, Abiria wameanza kuingia kwenye ndege.
Saa 12: 45 Asubuhi: Safari imeanza.
KWENYE FLIGHT RADAR status ya TC103 ni <unknown> kumbe mmepakiwa alfajiri hii poleni sanaSafari yangu ya kurejea Dar es salaam baada ya kukamilisha kazi yangu Bukoba imeanza asubuhi ya Februari 21, 2026 kwa ndege TC 101, mali ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Kasheshe imeanzia uwanja wa Ndege wa Bukoba, hauna umeme.
Baada ya kuwekwa foleni kwa masaa 3, baadae ilibidi wahudumu waanze kukagua msafiri mmoja mmoja manually kwa kumwaga chini vitu vyote kwenge begi na vifungashio bila kujali umebeba nini. Aibu gani hii?
Jambo hili lilifanya ndege ikawie kwa zaidi ya saa 1. Karne hii uwanja wa ndege unakosa backup ya Jenereta? Tiketi zinaandikwa kwa mikono. Ni maajabu!
Baada ya kufika Mwanza mchana, ilibidi nichukue hotel nipumzike kidogo, na baadae saa 3:30 usiku kusogea airport ili niendelee na safari yangu ya DSM kwa TC 103 (Air Tanzania). Kumbuka, safari hii awali ilikuwa nisafiri saa 5:30 usiku, juzi nikapata email imepelekwa saa 7 usiku, lakini nilipokuwa hotelini nikaamua kupiga simu ATCL kuhakikisha, nikaambiwa imerudishwa saa 5:30 usiku. What a confusion!
Baada ya kufika airport saa 3:40 usiku, nilikuta mlango umefungwa, watu wamejaa, check in haijaanza. Nikajiongeza tu kuwa hapa safari hakuna.
Baadaye kama saa 4:10 hivi mlango ulifunguliwa, kufika ndani sehemu ya kupata tiketi mdada aliyekuwa anahusika akanipa taarifa kwamba safari imepelekwa tena saa 7 usiku. Nilichoka.
Ikabidi nisubiri hiyo saa 7. Ukimya ukatawala, na baada ya watu kuanza kuhoji ndipo wahusika wa uwanja wakatangaza Ndege haiji, nimeenda Kilimanjaro kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi, na hakutoa majibu ya itakuja lini na saa ngapi Mwanza. Fikiria, ndege imebadilishiwa muda wa safari mara 3, umefika airport umefanya check in, unasubiri muda wa safari, kisha unaambiwa haiji, na huna uwezo wa kutoka nje ya Airport.
ATCL, kwanini mnatesa abiria? Kuna wanawake wajawazito hapa, watoto wachanga, wazee, lakini hata sisi vijana hatupaswi kufanyiwa hivi.
Namaliza kwa wito, wakumbukeni abiria hawa. Pelekeni ndege Mwanza ibebe abiria wenu wanaoteseka kwa hela waliyolipia wao wenyewe. Acheni kufanya kama usafiri huu ni hisani. Wapatieni huduma inayostahili.
UPDATE: Saa 11:50 Asubuhi mlango emefunguliwa abiria waingie kwenye mabasi waelekee sehemu ya kupanda ndege. Mfumo wa ku scan tiketi umegoma, abiria wamenzisha vurugu, imebidi waruhusiwe kwenda kupanda bila ku scan.
Saa 12: 19 Asubuhi, Abiria wameanza kuingia kwenye ndege.
Saa 12: 45 Asubuhi: Safari imeanza.
Fikiria kama mtu alikua na connecting flight nyingine anafikia Dar ndege ishasepa sijui hasara ya nnPoleni sana wakuu
Inasikitisha sana alafu kuna wadau wao kutwa kucha ni kuimba mapambio na sifa ambazo hazipo.Fikiria kama mtu alikua na connecting flight nyingine anafikia Dar ndege ishasepa sijui hasara ya nn
Haya ndo mambo yanafanya ATC ikataliwe kutua Europe au North America ukiacha usalama pia delays/cancellations kama zote na hawawajibiki kwa lolote (sio accommodation wala meals kwa abiria).Inasikitisha sana alafu kuna wadau wao kutwa kucha ni kuimba mapambio na sifa ambazo hazipo.
Kwa namna hii ya uendeshaji ni vigumu sana kutua sehemu hizo.Haya ndo mambo ATC haitui Europe au North America ukiacha usalama pia delays/cancellations kama zote na hawawajibiki kwa lolote (sio accommodation wala meals kwa abiria).