DOKEZO Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limetelekeza Abiria Mwanza, hadi sasa hawajui hatma yao

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hata mabasi yanayoweza kufanya hivi ni yale ya kampuni zilizojichokea haswa!!

BTW: Hapo hakuna hata ushindani na wanajiendesha kwa hasara,Fastjet ingekuwepo hali ingekuwaje?
Mara nyingi ratiba za ATC huvurugika, pale yule Rais kutoka nchi jirani anaye TUTAWALA anapokuwa ana safari. Hata ya kwenda kwao tu, inaiathiri ATC!
 
Ndege inapangiwa ratiba na Samia na watu wake. Huu ni ujinga usiovumilika. Upumbavu mtupu.. Kama hawawezi kufanya biashara kwanini wanatupotezea muda? Wapumbavu sana.
 
Hivi ile Gulfstream ilinunuliwa kipindi cha Sumaye ina maana hawaitumii? au ndio akitaka kwenda popote anazurura na watu 100 hadi 200..
Mama
Hawana ni kuwa tumezubaa tu
Tatizo ni hilo limama likiamua kwenda Kizimkazi, anachagua ndege ya kuruka nayo kwenda home kwake.Huyo rais kutoka nchi jirani ( Ya watu wasio na visogo) Anatumia anavyotaka kila wakati anavyoona inafaa....yaani anachagua, leo hataki Airbus, kesho anataka Boeing Max 9, yupo very picky. Hizi habari nazitoa kule kwenye chanzo....Hizi ndege kila mtu serikalini anazitolea amri...Ndiyo maana ratiba zake hazieleweki. Upumbavu wa hii serikali hii ovu. Kuna ndege ya rais, Makamu nk. Kuna helicopter za jeshi, polisi nk. hataki kuzitumia.
 
Aisee inakasirisha sana, ni mbinafsi sana..
 
Ukikata Ticket Air Malawi/Ethiopia ya kwenda SA wakichelewa kufika Daslm masaa manne na zaidi abiria wote mnapelekwa kwenye Hotel yenye hadhi ya nyota 5 kwa gharama zao mtakula kupumzika huko na kunywa chochote bill zote zao na mnakuja kuchukuliwa na usafiri wao mnarudishwa hapo Nyerere mnaendelea na Safari hao ATCL ntawasikia tu..
 
Hii huu ni mwaka gani na karne ya ngapi naomba mnikumbushe, pengine mimi ndio niko nyuma ya muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…