PreGE2025 Shirika la nyumba NHC kudhamini kongamano la kisiasa la kichawa la 'Nasimama na Mama' ni sawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Taasisi ya Mwanamke na Uongozi kwa kushirikiana na wadau wengine akiwemo NHC wafanya kongamano la 'Nasimama na Mama' mgeni rasmi akiwa ni mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Batilda Buriani, kama sehemu ya kusherekea siku ya mama duniani na kumuunga mkono Rais Samia. Hii imekaaje wakuu?

Inasherekewa siku ya mama lakini ni kampeni 800%. Kongamano linaandaliwa na kada wa CCM na viashiria vyote vya kampeni halafu shirika la nyumba la taifa linaenda kuwa mdhamini? Mnatumia hela zetu kumpigia kampeni mama hatoshi. Mnatukosea sana!

View: https://www.youtube.com/live/lIs07dz9aL8?si=PnEcNwnAC6NAkZMo

kongamano.jpg

​

Mwenyekiti UVCCM Tanga Ramadhani Omary amesema kama kuna mtu alipaswa kupewa zawadi leo ni mama yake Samia kwa kumlete jembe duniani mwenye hana baya anayeongeza Tanzania kama malaika kwa uongozi uliotuka. Akamalizia na kusema Tanga hawamdai badli yeye ndio anawadai:BearLaugh: :KEKWlaugh::KEKWlaugh: Tanga mje mtuambie hap, kweli mama hana deni kwenu?

​
 
Acha wafu wazikane

Hiyo NHC inanini imekifanya?
Project ya wizi wahela za Wananchi
 
Wakuu,

Taasisi ya Mwanamke na Uongozi kwa kushirikiana na wadau wengine akiwemo NHC wafanya kongamano la 'Nasimama na Mama' mgeni rasmi akiwa ni mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Batilda Buriani, kama sehemu ya kusherekea siku ya mama duniani na kumuunga mkono Rais Samia. Hii imekaaje wakuu?

Inasherekewa siku ya mama lakini ni kampeni 800%. Kongamano linaandaliwa na kada wa CCM na viashiria vyote vya kampeni halafu shirika la nyumba la taifa linaenda kuwa mdhamini? Mnatumia hela zetu kumpigia kampeni mama hatoshi. Mnatukosea sana!

Chadema si hawahusiki na Uchaguzi Mkuu mwaka huu sababu ya eti kuna irregularities?
Sasa kwanini mnahangaika na Mama kafanya hivi au kafanya vile? Nyie endeleeni kupambana na wanaoondoka Chadema na kuhimiza No Reform, No Election! Ahahahahaha!!!
 
Unashangaa nn mkuu, hii ni sirikali ya kipigaji chini ya amiri jeshi kilazaa mvaa ushungi!!.
 
Wakuu,

Taasisi ya Mwanamke na Uongozi kwa kushirikiana na wadau wengine akiwemo NHC wafanya kongamano la 'Nasimama na Mama' mgeni rasmi akiwa ni mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Batilda Buriani, kama sehemu ya kusherekea siku ya mama duniani na kumuunga mkono Rais Samia. Hii imekaaje wakuu?

Inasherekewa siku ya mama lakini ni kampeni 800%. Kongamano linaandaliwa na kada wa CCM na viashiria vyote vya kampeni halafu shirika la nyumba la taifa linaenda kuwa mdhamini? Mnatumia hela zetu kumpigia kampeni mama hatoshi. Mnatukosea sana!

Mwenyekiti UVCCM Tanga Ramadhani Omary amesema kama kuna mtu alipaswa kupewa zawadi leo ni mama yake Samia kwa kumlete jembe duniani mwenye hana baya anayeongeza Tanzania kama malaika kwa uongozi uliotuka. Akamalizia na kusema Tanga hawamdai badli yeye ndio anawadai:BearLaugh: :KEKWlaugh::KEKWlaugh: Tanga mje mtuambie hap, kweli mama hana deni kwenu?

Mkurugenzi wa hilo shirika anatoka nchi gani?
 
hapo ukute kuna mradi wa pesa ndefu wanataka kupitisha.....
 
Chadema si hawahusiki na Uchaguzi Mkuu mwaka huu sababu ya eti kuna irregularities?
Sasa kwanini mnahangaika na Mama kafanya hivi au kafanya vile? Nyie endeleeni kupambana na wanaoondoka Chadema na kuhimiza No Reform, No Election! Ahahahahaha!!!
Uchaguzi ni wa nchi boss. Ama ni uchaguzi wa ndani wa vyama?
 
Back
Top Bottom