Chema chajiuza kibaya chajitembeza.
Chadema si hawahusiki na Uchaguzi Mkuu mwaka huu sababu ya eti kuna irregularities?Wakuu,
Taasisi ya Mwanamke na Uongozi kwa kushirikiana na wadau wengine akiwemo NHC wafanya kongamano la 'Nasimama na Mama' mgeni rasmi akiwa ni mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Batilda Buriani, kama sehemu ya kusherekea siku ya mama duniani na kumuunga mkono Rais Samia. Hii imekaaje wakuu?
Inasherekewa siku ya mama lakini ni kampeni 800%. Kongamano linaandaliwa na kada wa CCM na viashiria vyote vya kampeni halafu shirika la nyumba la taifa linaenda kuwa mdhamini? Mnatumia hela zetu kumpigia kampeni mama hatoshi. Mnatukosea sana!
Mkurugenzi wa hilo shirika anatoka nchi gani?Wakuu,

Mwenyekiti UVCCM Tanga Ramadhani Omary amesema kama kuna mtu alipaswa kupewa zawadi leo ni mama yake Samia kwa kumlete jembe duniani mwenye hana baya anayeongeza Tanzania kama malaika kwa uongozi uliotuka. Akamalizia na kusema Tanga hawamdai badli yeye ndio anawadaiTanga mje mtuambie hap, kweli mama hana deni kwenu?
Uchaguzi ni wa nchi boss. Ama ni uchaguzi wa ndani wa vyama?Chadema si hawahusiki na Uchaguzi Mkuu mwaka huu sababu ya eti kuna irregularities?
Sasa kwanini mnahangaika na Mama kafanya hivi au kafanya vile? Nyie endeleeni kupambana na wanaoondoka Chadema na kuhimiza No Reform, No Election! Ahahahahaha!!!