Shirika la Reli Tanzania wamepata wapi pesa za kununua Magari ya kifahari ilhali hawaliingizii taifa faida yoyote zaidi ya kutoa huduma?

Reli Mwendo kasi wanayojenga maporini huko unataka waende na Magari ya Toyota vitz? Au kirikuu? Au Bajaj?
Hizo gari za kifahari ndio zinabeba na vipuri n.k. na wanajenga wao au kuna mkandarasi ? Na huyo mkandarasi haya ndio magari kanunua na anatoa hizo pesa kwenye faida yake ? Kwahio hizi gari ni speacial / wameleta ili waende kukagua reli huko maporini ? (kwanini wasitumie drones kuganya ukaguzi ?
Au bodaboda kusimamia na kukagua progress?
Naam kwenye njia mbaya sidhani kama kuna wa kumshinda boda boda katika penetration
Reli ikiwa na shida mahali unataka wafike haraka kwa kutumia baiskeli au? Hoja yako Haina maana
ha ha haa kwahio na reli ya mwendokasi ikianza kazi itabidi tuagize mengine mengi ili reli ikipata shida wafike kwa haraka na magari yao ?, Kwanini tusiachane na reli ili tuendelee na huu usafiri wa haya magari yao ambayo yanafika kwa haraka ?!!!

Logically your arguments does not hold water
 
Yalishafilisika kwasasa serikali ndio kilakitu kulipa mpaka mishahara

Yawezekana gari wamepewa na gvt
 
Wewe unadhani tozo unazolipa wewe na watanzania wengine, zinafanya kazi gani? Hayo ndiyo matumizi ya tozo, nyingine zote ni hadithi.
 
Yule aliyekuwa anabania tusinunue, Mungu kamchukua...Kwanini tusinunue wakati Mazeli yuko kunywesha fazeli juisi huko maballon?!


Hebu tupishe huko.
Sasa ulitaka afanyeje jamani? Kama huna wa kumnyesha joisi, si ugugumie tu, uache wengine wapandishe bendera!!!
 
Sasa mkuu kama ni pesa wanapewa na serikali au wanapata ruzuku shida iko wapi,hutaki wawe na magari au hutaki wawe na magari mapya au hutaki wawe na magari mengi au hutaki wapewe ruzuku bali watumie pesa zao ambazo umesema mwenyewe kuwa haziwatoshi?hakuna shortcut kwenye mradi mkubwa kama walionao,ukichukulia kuwa sehemu kubwa ya kazi inafanyikia mbali na resources zinakopatikana, na hata hivyo umbali unaongezeka kila unapomaliza sehemu mmoja,unlike kazi ya kujenga daraja au nyumba...
 
Acha uwongo wewe
 
Hapa shida ipo kwenye uendeshaji wa shughuli za serikali na usimamizi wa matumizi ya mapato ya serikali.

Katiba mpya inabidi iwe misingi ya kuzuia aina hii ya ubadhirifu wa mali ya taifa. Kimsingi hawa waharibifu ni raia wenzetu tunaoishi nao huku huku mitaani.
 
Hili jambo linastaajabisha kwa vile TRC ni shirika linaloendeshwa kwa ruzuku. TRC ya miaka ya nyuma ilikuwa inatumia landrover 109, wakati shirika likisafirisha tani 1.2 million kwa mwaka. Hi ya sasa wanatumia V8 wakati wanabeba mizigo ya tani laki mbili kwa mwaka. Ndiyo maana suala la tozo halieleweki wakati matumizi ya serekali na taasisi zake ni ya kufuru.
 
Ufahari unafaa pia Kwa watoa huduma, au ufahari unafaa wezi tu!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…