Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
- Thread starter
- #21
Mkuu hili shirika la kadogosa linalamba asali hasa.Kuna series 300 Hapo lc 300 milioni 545 anatumia sijui meneja
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hili shirika la kadogosa linalamba asali hasa.Kuna series 300 Hapo lc 300 milioni 545 anatumia sijui meneja
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Pengine ni magari ya wakandarasi😅😅Natafakari sana lakini sipati majibu, kati ya taasisi ya umma yenye magari ya kifahari halafu Kwa idadi kubwa basi ni hawa TRC. Wanamiliki magari mengi tena ya kifahari lakini sijui Kama taifa limewapa ruzuku ama ni faida kutoka katika huduma wanayotoa.
Shirika hili za reli linatumia magari yenye plate namba zinazoanzia na RAC na magari Yao ni new generation kabisa kampuni ya Toyota kuanzia SUV mpaka pickup. Suala hapa siyo magari Bali idadi ya magari ni mengi mno for no sold reason.
Unakuta magari zaidi ya 6 Kwa pamoja yote ya shirika la reli yanafukuzana sijui kukagua SGR kitu ambacho ni anasa. Wizara mtoke Sasa mtuambie hawa TRC wamekopa pesa kununua Magari ama serikali imetoa ruzuku ya kuwanunulia magari?
Duuh hao hao wanakamua mwananchi ka elfu kumi kake kwenye tozo? Wanajiita wazalendoKuna series 300 Hapo lc 300 milioni 545 anatumia sijui meneja
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Pale unapokuta maskini anaishi Luxury life kuliko wewe tajiri tena unampa na misaada😅😅Tuma na kapicha basi tujiridhishe
Halafu shida ipo wapi mbona watu wana madeni kibao lakini wanamiliki makampuni ya mabasi na maviwanda kibao??
Kuwa na madeni haiimaanishi usinunue mausafiri ya first class
Mbona nchi yetu ipo kwenye kundi la Most Indebted Countries World Wide lakini mindinga ya rank ya first generation huko duniani yanaburuzwa na wana si-hasa??
Utangoja sana kiongozi
We lipa tozo,sie huku tunakula kwa urefu wa kamba,manunuzi yanafanyika serikalini Ili watu wapige Cha juu,na kwa jinsi mama asivyojua kitu,hiki ni kipindi Cha kuupiga mwingi,ni kutembelea ma V8 tu,kwenye mashirika ya umma,wakubwa waandamizi wanajikopesha tu pesa ya umma,Natafakari sana lakini sipati majibu, kati ya taasisi ya umma yenye magari ya kifahari halafu Kwa idadi kubwa basi ni hawa TRC. Wanamiliki magari mengi tena ya kifahari lakini sijui Kama taifa limewapa ruzuku ama ni faida kutoka katika huduma wanayotoa.
Shirika hili za reli linatumia magari yenye plate namba zinazoanzia na RAC na magari Yao ni new generation kabisa kampuni ya Toyota kuanzia SUV mpaka pickup. Suala hapa siyo magari Bali idadi ya magari ni mengi mno for no sold reason.
Unakuta magari zaidi ya 6 Kwa pamoja yote ya shirika la reli yanafukuzana sijui kukagua SGR kitu ambacho ni anasa. Wizara mtoke Sasa mtuambie hawa TRC wamekopa pesa kununua Magari ama serikali imetoa ruzuku ya kuwanunulia magari?
Ukitoa gharama za uendeshaji wanabakia na kiasi Gani za kununua Magari zaidi ya mia ya thamani inayopindukia milioni 300 Kila Moja?Treni daladala pugu station kwa siku walliingiza milioni 20 kwa siku
Yawakandarasi hayawezi kuwekwa plate namba za shirika la umma TRCPengine ni magari ya wakandarasi😅😅
Mkuu nchi yetu ni ngumu sana. Kwa kifupi fedha zingekuwa zinatumika bila ufisadi au matumizi yasiyo na lazima basi tusingehitaji msaada wowote na shule na hospital zingekuwa bure na huduma bora kabisa. Na awamu hii ukiambiwa fedha zinavyopigwa basi unaweza kuzimia. Na mwenyewe amekaa anatumbua mi-macho tu.Mkuu ruzuku ya kununua V8 zaidi ya mia siyo mchezo.
Haya madude ukishambeba demu tu anaanza kukuita 'my hubby's,shenzi Sana.Mimi nashauri tuendelee Kama Watanzania kutoa tozo kwa moyo,nguvu,akili na maarifa yetu yote ili viongozi wetu na wasaidizi wao waendelee kuishi maisha mazuri!
Natafakari sana lakini sipati majibu, kati ya taasisi ya umma yenye magari ya kifahari halafu Kwa idadi kubwa basi ni hawa TRC. Wanamiliki magari mengi tena ya kifahari lakini sijui Kama taifa limewapa ruzuku ama ni faida kutoka katika huduma wanayotoa.
Shirika hili za reli linatumia magari yenye plate namba zinazoanzia na RAC na magari Yao ni new generation kabisa kampuni ya Toyota kuanzia SUV mpaka pickup. Suala hapa siyo magari Bali idadi ya magari ni mengi mno for no sold reason.
Unakuta magari zaidi ya 6 Kwa pamoja yote ya shirika la reli yanafukuzana sijui kukagua SGR kitu ambacho ni anasa. Wizara mtoke Sasa mtuambie hawa TRC wamekopa pesa kununua Magari ama serikali imetoa ruzuku ya kuwanunulia magari?
🤣🤣🤣🤣🤣Haya madude ukishambeba demu tu anaanza kukuita 'my hubby's,shenzi Sana.
Mkuu ngoja nikuambie neno, ili usilete kuchongea watu bila sababu. NI kwamba katika sheria ya manunuzi ya serikali inasema kabisa magari gani yanapaswa kununuliwa, na huwa ni hizo Landcruiser na Pick up double cabin. Wakati fulani ilikuwa ni Land Rover Defender 110. Kwa hiyo hawa watu hawajiamulii, bali ni sheria inawapeleka kununua hayo magari. Bila hiyo sheria ungekuta wananunua Range Rover, Lexus, Jeep, BMW X5, Mercedes GLS nk.Shirika hili za reli linatumia magari yenye plate namba zinazoanzia na RAC na magari Yao ni new generation kabisa kampuni ya Toyota kuanzia SUV mpaka pickup. Suala hapa siyo magari Bali idadi ya magari ni mengi mno for no sold reason.
Unakuta magari zaidi ya 6 Kwa pamoja yote ya shirika la reli yanafukuzana sijui kukagua SGR kitu ambacho ni anasa. Wizara mtoke Sasa mtuambie hawa TRC wamekopa pesa kununua Magari ama serikali imetoa ruzuku ya kuwanunulia magari?
Hapana Mkuu, RAC ni namba maalum kwa ajili ya shirika la leli, sio SGR. Zamani zilikuwa RAB sasa zimekwenda RAC. Hizo ni namba za tangu enzi za East African RailwaysAcha kupotosha watu mzee gari zote unazoziona zina namba RAC zote ni gari ambazo zinatumika kwenye mradi wa SGR.