Shirika la Reli Tanzania wamepata wapi pesa za kununua Magari ya kifahari ilhali hawaliingizii taifa faida yoyote zaidi ya kutoa huduma?

Natafakari sana lakini sipati majibu, kati ya taasisi ya umma yenye magari ya kifahari halafu Kwa idadi kubwa basi ni hawa TRC. Wanamiliki magari mengi tena ya kifahari lakini sijui Kama taifa limewapa ruzuku ama ni faida kutoka katika huduma wanayotoa.

Shirika hili za reli linatumia magari yenye plate namba zinazoanzia na RAC na magari Yao ni new generation kabisa kampuni ya Toyota kuanzia SUV mpaka pickup. Suala hapa siyo magari Bali idadi ya magari ni mengi mno for no sold reason.

Unakuta magari zaidi ya 6 Kwa pamoja yote ya shirika la reli yanafukuzana sijui kukagua SGR kitu ambacho ni anasa. Wizara mtoke Sasa mtuambie hawa TRC wamekopa pesa kununua Magari ama serikali imetoa ruzuku ya kuwanunulia magari?
Pengine ni magari ya wakandarasi😅😅
 
Tuma na kapicha basi tujiridhishe

Halafu shida ipo wapi mbona watu wana madeni kibao lakini wanamiliki makampuni ya mabasi na maviwanda kibao??

Kuwa na madeni haiimaanishi usinunue mausafiri ya first class

Mbona nchi yetu ipo kwenye kundi la Most Indebted Countries World Wide lakini mindinga ya rank ya first generation huko duniani yanaburuzwa na wana si-hasa??

Utangoja sana kiongozi
Pale unapokuta maskini anaishi Luxury life kuliko wewe tajiri tena unampa na misaada😅😅
 
Natafakari sana lakini sipati majibu, kati ya taasisi ya umma yenye magari ya kifahari halafu Kwa idadi kubwa basi ni hawa TRC. Wanamiliki magari mengi tena ya kifahari lakini sijui Kama taifa limewapa ruzuku ama ni faida kutoka katika huduma wanayotoa.

Shirika hili za reli linatumia magari yenye plate namba zinazoanzia na RAC na magari Yao ni new generation kabisa kampuni ya Toyota kuanzia SUV mpaka pickup. Suala hapa siyo magari Bali idadi ya magari ni mengi mno for no sold reason.

Unakuta magari zaidi ya 6 Kwa pamoja yote ya shirika la reli yanafukuzana sijui kukagua SGR kitu ambacho ni anasa. Wizara mtoke Sasa mtuambie hawa TRC wamekopa pesa kununua Magari ama serikali imetoa ruzuku ya kuwanunulia magari?
We lipa tozo,sie huku tunakula kwa urefu wa kamba,manunuzi yanafanyika serikalini Ili watu wapige Cha juu,na kwa jinsi mama asivyojua kitu,hiki ni kipindi Cha kuupiga mwingi,ni kutembelea ma V8 tu,kwenye mashirika ya umma,wakubwa waandamizi wanajikopesha tu pesa ya umma,
 
Treni daladala pugu station kwa siku walliingiza milioni 20 kwa siku
Ukitoa gharama za uendeshaji wanabakia na kiasi Gani za kununua Magari zaidi ya mia ya thamani inayopindukia milioni 300 Kila Moja?
 
Mimi nashauri tuendelee Kama Watanzania kutoa tozo kwa moyo,nguvu,akili na maarifa yetu yote ili viongozi wetu na wasaidizi wao waendelee kuishi maisha mazuri!
image_2932730544547440398_.jpg
 
Mkuu ruzuku ya kununua V8 zaidi ya mia siyo mchezo.
Mkuu nchi yetu ni ngumu sana. Kwa kifupi fedha zingekuwa zinatumika bila ufisadi au matumizi yasiyo na lazima basi tusingehitaji msaada wowote na shule na hospital zingekuwa bure na huduma bora kabisa. Na awamu hii ukiambiwa fedha zinavyopigwa basi unaweza kuzimia. Na mwenyewe amekaa anatumbua mi-macho tu.
 
Natafakari sana lakini sipati majibu, kati ya taasisi ya umma yenye magari ya kifahari halafu Kwa idadi kubwa basi ni hawa TRC. Wanamiliki magari mengi tena ya kifahari lakini sijui Kama taifa limewapa ruzuku ama ni faida kutoka katika huduma wanayotoa.

Shirika hili za reli linatumia magari yenye plate namba zinazoanzia na RAC na magari Yao ni new generation kabisa kampuni ya Toyota kuanzia SUV mpaka pickup. Suala hapa siyo magari Bali idadi ya magari ni mengi mno for no sold reason.

Unakuta magari zaidi ya 6 Kwa pamoja yote ya shirika la reli yanafukuzana sijui kukagua SGR kitu ambacho ni anasa. Wizara mtoke Sasa mtuambie hawa TRC wamekopa pesa kununua Magari ama serikali imetoa ruzuku ya kuwanunulia magari?

Acha kupotosha watu mzee gari zote unazoziona zina namba RAC zote ni gari ambazo zinatumika kwenye mradi wa SGR.

unaweza kuziona za ufahari lakini kumbuka huko kwa wenzetu ni bei ya mbuzi tu na zote hizo zimeingia kwa msamaha wa kodi
 
Shirika hili za reli linatumia magari yenye plate namba zinazoanzia na RAC na magari Yao ni new generation kabisa kampuni ya Toyota kuanzia SUV mpaka pickup. Suala hapa siyo magari Bali idadi ya magari ni mengi mno for no sold reason.

Unakuta magari zaidi ya 6 Kwa pamoja yote ya shirika la reli yanafukuzana sijui kukagua SGR kitu ambacho ni anasa. Wizara mtoke Sasa mtuambie hawa TRC wamekopa pesa kununua Magari ama serikali imetoa ruzuku ya kuwanunulia magari?
Mkuu ngoja nikuambie neno, ili usilete kuchongea watu bila sababu. NI kwamba katika sheria ya manunuzi ya serikali inasema kabisa magari gani yanapaswa kununuliwa, na huwa ni hizo Landcruiser na Pick up double cabin. Wakati fulani ilikuwa ni Land Rover Defender 110. Kwa hiyo hawa watu hawajiamulii, bali ni sheria inawapeleka kununua hayo magari. Bila hiyo sheria ungekuta wananunua Range Rover, Lexus, Jeep, BMW X5, Mercedes GLS nk.

Kuna wakati mradi wa EU hapa nchini walipata matatizo kwa kuwa wao walitaka kuagiza magari ya Ulaya, lakini sheria ikawa inawabana kununua magari ya Japan kulingana na sheria ya manunuzi ya Tanzania. EU wakaona kama wanalazimishwa kuwa promote Wajapan wakati fedha ni za Ulaya.

Kwa hiyo usimlaumu mtu wa serikalini au shirika la umma kununua hizo V8
 
Back
Top Bottom