Shirika la Uchumi na Kilimo (SUKITA) lifufuliwe

Shirika la Uchumi na Kilimo (SUKITA) lifufuliwe

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
SUKITA lilikuwa shirika la kukuza Uchumi na Kilimo nchini. Kwa 100% lilimilikiwa na Chama.

Kutokana na ukosefu wa Ajira ni wakati sasa lifufuliwe ili utekelezaji wa ilani uendane na vitendo.
 
Hongera Sana Mheshimiwa Dr Burendo
 
Kwa nini lilikufa?
Haya mambo yanaenda kwa ujanja ujanja, shirika linasemekana limekufa lakini jengo lake limekarabatiwa mwaka Jana na limepangishwa sasa sijui nani kasaini mikataba ya pango na marekebisho ya jengo.

Jengo la sukita lipo mtaa wa Lumumba wanapakana na jengo la ushirika kama unaelekea uwanja wa michezo.
 
Back
Top Bottom