Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SUKITA ilifungua tawi mkoani kwetu SUKIMBI kwa wamatengo kule. SUKIMBI nayo ikafa kifo kile kile cha mama yake SUKITA. Hatari sana, Binamu zake SUKITA akina NMC, UGAWAJI, RTC, RETCO, SUDECO, NARCO, NAFCO, DOWICO, BORA, TEGRY, NATIONAL PANASONIC, hata makaburi yao sijui yako wapi.Vitega Uchumi pia viongezwe mpaka Dubai
National panasonic leo hii ilibidi wawewanatengeneza simu na komputaSUKITA ilifungua tawi mkoani kwetu SUKIMBI kwa wamatengo kule. SUKIMBI nayo ikafa kifo kile kile cha mama yake SUKITA. Hatari sana, Binamu zake SUKITA akina NMC, UGAWAJI, RTC, RETCO, SUDECO, NARCO, NAFCO, DOWICO, BORA, TEGRY, NATIONAL PANASONIC, hata makaburi yao sijui yako wapi.
Hivi Dr Nchimbi yupo TZ hii kweli!!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ule mradi UVCCM waliufisadi!
UNATAKA MACCM YATUPIGE TENA? LILE LILIKUWA SHIRIKA LA UPINGAJI NENDA STOP OVER KUNA GHOROFA HALIJAISHA LILIKUWA LA MKURUGENZI WA SUKITASUKITA lilikua shirika la kukuza Uchumi na Kilimo nchini. Kwa 100% lilimilikiwa na Chama.
Kutokana na ukosefu wa Ajira ni wakati sasa lifufuliwe ili utekelezaji wa ilani uendane na vitendo.
Wazo jema hiliSUKITA lilikua shirika la kukuza Uchumi na Kilimo nchini. Kwa 100% lilimilikiwa na Chama.
Kutokana na ukosefu wa Ajira ni wakati sasa lifufuliwe ili utekelezaji wa ilani uendane na vitendo.
[emoji28][emoji28][emoji28]Watoto wa millenia wana tabu sana. Ukute hapo anajua SUKITA lilikuwa la Serikali.
Ila SUKITA ilikuwa inafuga manguruwe mengi sana pale bonde la Msimbazi mkabala na Kigogo. CCM hawaogopi mapato haramu ya kitimoto wao ni kubugia tu kwa ulafi wao
Aisee ni balaaaHaya mambo yanaenda kwa ujanja ujanja, shirika linasemekana limekufa lakini jengo lake limekarabatiwa mwaka Jana na limepangishwa sasa sijui nani kasaini mikataba ya pango na marekebisho ya jengo.
Jengo la sukita lipo mtaa wa Lumumba wanapakana na jengo la ushirika kama unaelekea uwanja wa michezo.
Mzee unaweza kufafanua Kwa kirefu kidogo hayo mashirika mengine wengine tulikuwa wadogoSUKITA ilifungua tawi mkoani kwetu SUKIMBI kwa wamatengo kule. SUKIMBI nayo ikafa kifo kile kile cha mama yake SUKITA. Hatari sana, Binamu zake SUKITA akina NMC, UGAWAJI, RTC, RETCO, SUDECO, NARCO, NAFCO, DOWICO, BORA, TEGRY, NATIONAL PANASONIC, hata makaburi yao sijui yako wapi.
Classmate alikuaga na mbwembwe sana miaka ile...😂 apumzike kwa amaniMasaburi RIP
Kwani CCM imekufa? Au imeacha kufanya mema??Uzi huu umenikumbusha mema ya CCM!
Nmc ilikuwa ni National Milling ndo ile pale Tazara ( Baresa), Ugawaji hawa walikuwa kazi yao kugawa bidha adimu, walikuwa pale Ilala, RTC ilikuwa Regional Trading company, Retco ilikuwa ni Regional transport, SUDECO ilikuwa Sugar Development ( pale Kibaha wana taasisi bado ipo nadhani), Narco ni National Ranch ( bado wapo, mfano mzuri ni Kongwa Beef) au Ruvu au Kitulo, Nafco ilikuwa nafaka ( mfano ilikuwa Ngano kule Basotu), Dowico ilikuwa ni Dodoma Wine, Bora wao ilikuwa ni viatu, Tegry walikuwa ni mabomba ya maji, National Panasonic walikuwa ni Redio kama Mkulima/Dudu proof etc etcMzee unaweza kufafanua Kwa kirefu kidogo hayo mashirika mengine wengine tulikuwa wadogo
Nchi hii ilikuwa na mambo mazuri sana, basi tu. Kwa kuongezea hapo, Mang'ula. Huko hakukua Cha mtoto full kiwanda, Leo ni popo tu wananyeaSUKITA ilifungua tawi mkoani kwetu SUKIMBI kwa wamatengo kule. SUKIMBI nayo ikafa kifo kile kile cha mama yake SUKITA. Hatari sana, Binamu zake SUKITA akina NMC, UGAWAJI, RTC, RETCO, SUDECO, NARCO, NAFCO, DOWICO, BORA, TEGRY, NATIONAL PANASONIC, hata makaburi yao sijui yako wapi.
Wapo chawa wa mama, tuone juhudi zao. Wakichanga pesa wanazotufisadi inawezekana.CCM hawana jeuri hiyo kwa sasa! Wakati ule, karibia kila kitu walikuwa wanapata bure! Leo hii, hata duka la mtaji wa 5,000,000/= inaweza kuwa ni issue ngumu!
NAKUMBUKA MKATE WA BOFLO NA ORANGE SQUASH ( TUNAPOENDA FIELD TULIKUWA TUNAPEWA ORANGE SQUASH NA BOFLO) UNAHANGAIKA NALO KWENYE TREN MWANZO MWISHO. NDO HAYARUDI TENANchi hii ilikuwa na mambo mazuri sana, basi tu. Kwa kuongezea hapo, Mang'ula. Huko hakukua Cha mtoto full kiwanda, Leo ni popo tu wananyea