Shirika la Uchumi na Kilimo (SUKITA) lifufuliwe

Nmc ilikuwa ni National Milling ndo ile pale Tazara ( Baresa), Ugawaji hawa walikuwa kazi yao kugawa bidha adimu, walikuwa pale Ilala, RTC ilikuwa Regional Trading company, Retco ilikuwa ni Regional transport, SUDECO ilikuwa Sugar Development ( pale Kibaha wana taasisi bado ipo nadhani), Narco ni National Ranch ( bado wapo, mfano mzuri ni Kongwa Beef) au Ruvu au Kitulo, Nafco ilikuwa nafaka ( mfano ilikuwa Ngano kule Basotu), Dowico ilikuwa ni Dodoma Wine, Bora wao ilikuwa ni viatu, Tegry walikuwa ni mabomba ya maji, National Panasonic walikuwa ni Redio kama Mkulima/Dudu proof etc etc
Asante mkuu
 
Yote haya yalikuwa hayana ushindani kwenye biashara. Na yote yalifilisika. Inahitaji uhodari mkubwa kufilisi biashara isiyo na mshindani na bidhaa zote hazitoshi mahitaji.
 
Back
Top Bottom