Ghost MVP
JF-Expert Member
- May 19, 2022
- 439
- 736
Leo ni 26 JAN lakini Wiki Yote hii nimekuwa wa kupishana na umeme kila siku wanatukatia Umeme Usiku saa 1 kurudi had saa 6 kila siku, yani tunarudi majumbani hakuna kitu tunafanya na Giza ni kulala tu, inakwaza mnoo, na mchana huwa wanakata basi vitu vinaaribima kwenye Friji, yan hata kutuandaa hamtuandai, inakwaza mnoo
TANESCO mtuzingatie, Mnatukwamisha sanaa
TANESCO mtuzingatie, Mnatukwamisha sanaa