Tutaandama kwaajili yao 🤣🤣🤣Kwakweli Tanesco mnatutesa sana. Halafu wala hamjali, yaani hata watu waongee vipi, mnawapuuza kabisa. mngekuwa basi hata mnatoa ratiba ili watu tujipange. Halafu hadi haya mafuriko, lakini bado umeme hamna. Tanesco mbinguni mtakusikia kwa majirani zenu Dawasa. Kama na wenyewe wataenda
Emegency watakula wapi..Leo ni 26 JAN lakini Wiki Yote hii nimekuwa wa kupishana na umeme kila siku wanatukatia Umeme Usiku saa 1 kurudi had saa 6 kila siku, yani tunarudi majumbani hakuna kitu tunafanya na Giza ni kulala tu, inakwaza mnoo, na mchana huwa wanakata basi vitu vinaaribima kwenye Friji, yan hata kutuandaa hamtuandai, inakwaza mnoo
TANESCO mtuzingatie, Mnatukwamisha sanaa
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto, tafadhali tufahamishe eneo lenu tuweze kufanya ufuatiliaji zaidi.^OKLeo ni 26 JAN lakini Wiki Yote hii nimekuwa wa kupishana na umeme kila siku wanatukatia Umeme Usiku saa 1 kurudi had saa 6 kila siku, yani tunarudi majumbani hakuna kitu tunafanya na Giza ni kulala tu, inakwaza mnoo, na mchana huwa wanakata basi vitu vinaaribima kwenye Friji, yan hata kutuandaa hamtuandai, inakwaza mnoo
TANESCO mtuzingatie, Mnatukwamisha sanaa
Kwa ufupi ni Nchi nzima Ila mimi imenikumbua nikiwa Dar Shughulikieni Kote Ndugu Waangaza wetuHabari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto, tafadhali tufahamishe eneo lenu tuweze kufanya ufuatiliaji zaidi.^OK