kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Pimbi mkubwa wee..wao ndo wameyakanyagaChadema walitegwa, wamenasa
Alipo teuliwa yule Dr Lyooba nikawa na imani kuwa angekuwa ni muarobaini wa kuifanya tbc ijirekebishe lkn wapiWabalance na waache upendeleo was wazi wa kiwango walicho fikia
KwendraaaMimi piah ni miongoni wa waliohuzunishwa na CHADEMA au Mbowe. Haikuwa ustaarabu wangewaacha tu. As long as na wao walikuwa na stream media yao.
Lazima tunyooshaneTundu Lissu kweli kawashika MATAGA kunako.
TBC wanalia!
Polisi huko Twitter wanalia!
wameshikwa haswaaa!
View attachment 1551053
Thubuutuuuuuu, hawajitaki kwa jiwe?Mlivyokuwa mnazima sauti na kuanza kuongea porojo zenu pindi wazunguzaji wanapoanza kushusha nondo mlidhani wananchi hawaoni? Ingekuwa mkutano wa ccm mngefanya hivyo?
Magufuri ameleta maendeleo gn wee pimbi?? Madaraja ndo maendeleo??Akili za CDM wote sawa kuanzia viongozi wao wa juu mpaka wafuasi wa mtaani.
Lazima watafute mtu wa kumtolea hasira zao mambo yakienda kombo, mkutano umeenda ndivyo sivyo kwenye umati awataki TBC warushe, ata JF ukimkosoa Lissu lazima kuna jitu litataka likutee hasira zake kwako.
Pamoja na kutaka kuona Magufuli anashinda lakini sio mapema hivi. Ikimbukwe asilimia kubwa ya kura millioni 6 za Lowassa 2015 zilipatika Dar, kwa mapokezi ya Lissu mmh hapo ana chake.
Anyway watu wameshauri sana jamaa story yake ya risasi 16 ikishasikilizwa mara ndio imeshasikilizwa mara zote, katoka huko yupo kuponda maendeleo na kazi ya Magufuli badala ya kusema atawafanyia nini.
CCM wanakazi nyepesi kweli, binafsi wala sishangai.
Pimbi mkubwa wee..wao ndo wameyakanyaga
Kwa sasa lini ? Miaka mitano nyuma ?, hiki ni chombo cha propaganda since way back....Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
BAK Kuna sehemu uli quote na clip fulani ya mkulu. Hebu ilete huku tuone kama TBC waliyaminya yale maudhui ya kupiga mashangazi.
TBC Ni TV ya ajabu dunianiShirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.
TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.
Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.
Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
Pongezi kwao kwa kuzinduliwa usingizini,TBC imekua chombo cha upande mmoja,sasa Tangazo la kuondolewa kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Chadema mtajirekebisha muone tatizo liko wapi.Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.
TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.
Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.
Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
We endelea kujiongopea hivi unafahamu bila ya hayo madaraja safari ya nusu 30 saa huku kijiji inaweza kuchukua masaa 3 kwa usafiri wetu; kama mtu an akimbizwa hospitali uwepo wa daraja linakuwa swala kufa na kupona. Halafu we unaona daraja halina tija, akili zenu zinawatosha wenyewe.Magufuri ameleta maendeleo gn wee pimbi?? Madaraja ndo maendeleo??
Haaaha aione;
Wakati mwingine kokoro inajua kazi yake...inazoa tu bila kujali kumenasa nini. Awali NEC yenyewe ilinasa na sasa TBC imefuatia. Tusubiri TCRA kwani nayo iko njiani kunasa...!Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
Aliyetaka kujinyonga kadaka kamba aliyotupiwa, sasa analia nini? Si aitundike tu ajinyonge, mayowe ya nini?TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
Na wewe kwenda. [emoji57]Kwendraaa