Uchaguzi 2020 Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake

Akili za CDM wote sawa kuanzia viongozi wao wa juu mpaka wafuasi wa mtaani.

Lazima watafute mtu wa kumtolea hasira zao mambo yanapoenda kombo, mkutano umeenda ndivyo sivyo kwenye umati awataki TBC warushe, ata JF ukimkosoa Lissu lazima kuna jitu litataka likutee hasira zake kwako.

Pamoja na kutaka kuona Magufuli anashinda lakini sio mapema hivi. Ikimbukwe asilimia kubwa ya kura millioni 6 za Lowassa 2015 zilipatikana Dar, kwa mapokezi ya Lissu mmh hapo kama vile hana chake.

Watu wengi wameshauri sana jamaa story yake ya risasi 16 ikishasikilizwa mara moja ndio imeshasikilizwa mara zote itachokwa mapema sana. Katoka huko yupo kuponda maendeleo na kazi ya Magufuli badala ya kusema atawafanyia nini.

CCM wanakazi nyepesi kweli, binafsi wala sishangai.
 
Akili za CDM wote sawa kuanzia viongozi wao wa juu mpaka wafuasi wa mtaani.

Lazima watafute mtu wa kumtolea hasira zao mambo yakienda kombo, mkutano umeenda ndivyo sivyo kwenye umati awataki TBC warushe, ata JF ukimkosoa Lissu lazima kuna jitu litataka likutee hasira zake kwako.

Pamoja na kutaka kuona Magufuli anashinda lakini sio mapema hivi. Ikimbukwe asilimia kubwa ya kura millioni 6 za Lowassa 2015 zilipatika Dar, kwa mapokezi ya Lissu mmh hapo ana chake.

Anyway watu wameshauri sana jamaa story yake ya risasi 16 ikishasikilizwa mara ndio imeshasikilizwa mara zote, katoka huko yupo kuponda maendeleo na kazi ya Magufuli badala ya kusema atawafanyia nini.

CCM wanakazi nyepesi kweli, binafsi wala sishangai.
Magufuri ameleta maendeleo gn wee pimbi?? Madaraja ndo maendeleo??
 
Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
Kwa sasa lini ? Miaka mitano nyuma ?, hiki ni chombo cha propaganda since way back....
 
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.

TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.

Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.

Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.

TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
TBC Ni TV ya ajabu duniani
 
Pongezi kwao kwa kuzinduliwa usingizini,TBC imekua chombo cha upande mmoja,sasa Tangazo la kuondolewa kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Chadema mtajirekebisha muone tatizo liko wapi.
 
Magufuri ameleta maendeleo gn wee pimbi?? Madaraja ndo maendeleo??
We endelea kujiongopea hivi unafahamu bila ya hayo madaraja safari ya nusu 30 saa huku kijiji inaweza kuchukua masaa 3 kwa usafiri wetu; kama mtu an akimbizwa hospitali uwepo wa daraja linakuwa swala kufa na kupona. Halafu we unaona daraja halina tija, akili zenu zinawatosha wenyewe.
 
Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
Wakati mwingine kokoro inajua kazi yake...inazoa tu bila kujali kumenasa nini. Awali NEC yenyewe ilinasa na sasa TBC imefuatia. Tusubiri TCRA kwani nayo iko njiani kunasa...!
TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
Aliyetaka kujinyonga kadaka kamba aliyotupiwa, sasa analia nini? Si aitundike tu ajinyonge, mayowe ya nini?
 
Back
Top Bottom