Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Heee mpaka hawa wanamipasho sitaki kuaminiTundu Lissu kweli kawashika MATAGA kunako.
TBC wanalia!
Polisi huko Twitter wanalia!
wameshikwa haswaaa!
View attachment 1551053
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee mpaka hawa wanamipasho sitaki kuaminiTundu Lissu kweli kawashika MATAGA kunako.
TBC wanalia!
Polisi huko Twitter wanalia!
wameshikwa haswaaa!
View attachment 1551053
Kudadadeeeki hii sasa ndiyo tunaiita kama kulia tutalia wote na kama kucheka tutacheka pamoja
Hao wafanyakazi wataenda pale uhuru kuna radio yaoNawaza kwa mbali,
Ivi ndio CHADEMA wametinga IKULU KIMASIHARA TBC itaendelea kufanya kazi kama miaka yote?
Tbc safari hii lazima kuna wafanyakazi watahama bila kupendaAndaeni sababu za kushindwa kabisa.
Sasa Kwanini hukuwashauri ccm wasifanye dhuluma, na ubakaji majimbo kwa kuwateka wapinzani, mapingamizi ya kijinga, polisi, takukuru nk, wakati CHADEMA wepesi tu?!!Akili za CDM wote sawa kuanzia viongozi wao wa juu mpaka wafuasi wa mtaani.
Lazima watafute mtu wa kumtolea hasira zao mambo yanapoenda kombo, mkutano umeenda ndivyo sivyo kwenye umati awataki TBC warushe, ata JF ukimkosoa Lissu lazima kuna jitu litataka likutee hasira zake kwako.
Pamoja na kutaka kuona Magufuli anashinda lakini sio mapema hivi. Ikimbukwe asilimia kubwa ya kura millioni 6 za Lowassa 2015 zilipatikana Dar, kwa mapokezi ya Lissu mmh hapo kama vile hana chake.
Watu wengi wameshauri sana jamaa story yake ya risasi 16 ikishasikilizwa mara moja ndio imeshasikilizwa mara zote itachokwa mapema sana. Katoka huko yupo kuponda maendeleo na kazi ya Magufuli badala ya kusema atawafanyia nini.
CCM wanakazi nyepesi kweli, binafsi wala sishangai.
Acha porojo mkuu Yesu alifufua watu na bado akapigwa mawe sembuse huyu aliye jenga madaraja!We endelea kujiongopea hivi unafahamu bila ya hayo madaraja safari ya nusu 30 saa huku kijiji inaweza kuchukua masaa 3 kwa usafiri wetu; kama mtu an akimbizwa hospitali uwepo wa daraja linakuwa swala kufa na kupona. Halafu we unaona daraja halina tija, akili zenu zinawatosha wenyewe.
Mwisho wao ndiyo umefika wa kujipendekeza kwa ccm wakati wanalipwa kwa mishahara inayotokana na kodi za watanzania..Wawe pia Wawazi na Kueleza walichofanya hadi CHADEMA kufikia hatua ya kufanya walichowafanyia!
CHADEMA sio Wehu wa Kuanza kutimua Watu kwenye Mikutano!
TBC wekeni mambo hadharani...Mlifanya nini?
Hata hizo za dar hawakujenga kwa mishahara yao, bali ni kodi za watanzaniaMtu kila cku mnaongelea madaraja ya dar tu wkt ukienda tu hapa rufiji barabara ni mbovu htr ..acheni upimbi ninyi viherehere
Wajinga sanaWana haki ya kutimuliwa maana walikua wana kata matangazo kila anapotajwa magu.
Busara alikufa nazo Nabii Suleman tuliobaki ni wale wa maisha bila unafiki hayaendi mshika kibendera weweChadema wamekosa busara.walichafanya leo kuwafukuza tbc kitakuja kuwagharimu.
Hatuna haja nao kabisa hao wanafiki wakubwa sana.Nyambafu! Kwani lini mmewahi kurusha matangazo ya Chadema. Na hiyo sheria ya kulinda maudhui inafanya kazi kwa Chadema tu?
Kidogo kidogo tumeanza kuelewana tuChadema is beating MATAGA at their own game....
this is nice now!!
Watu wenye kufanya matendo hayo ovu wanajina lao watenda dhambi.Acha porojo mkuu Yesu alifufua watu na bado akapigwa mawe sembuse huyu aliye jenga madaraja!
Kama wakitaka wakarushe mikutano ya kina Lyatonga na lipumbaTBC ni wapuuzi wanaotakiwa kupuuzwa. Hawastahili kuheshimiwa kwa namna yoyote.
Kipindi hiki ni cha kuwakataa wanafiki wote. TBC wakiamua kutembea na shetani, waendelee huko huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini TBC wakarusha mikutano ya upinzani hasa chadema? Wasubirie mikutano ya Nccr mageuzi na cuf ambayo ni matawi yaoMheshimiwa Daktari Ayoub Ryoba,
Mengi ya kufurahisha na ya karaha yamefanywsa na TBC tumeyapokea kabla ya uongozi wsako na sasa kipindi cha uongozi wako...
vibaraka wame fufurushwa uwanjani Nguvu ya umma imeshangilia sanaKatika hili, Mbowe amekosea. Kama kiongozi wa chama ambacho kila wakati kinalalamikia serikali kwa 'kuminya' uhuru wa vyombo vya habari, Mbowe hakupaswa 'kuiminya' tbc kwa kuifukuza palepale mkutanoni bila hata kupata muda wa kutafakari athari za maamuzi yake. Ni mfano mbaya kwa chama kinachosema kipo tayari kushika dola na kutoa uongozi mbadala kwa nchi.