Emky
Senior Member
- Feb 2, 2018
- 144
- 161
jibu swali hujaelewa nini naona umeanza kujikanyaga kanyaga😂😂😂😂Sasa kama hauna ubongo utaelewaje? View attachment 1551227
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jibu swali hujaelewa nini naona umeanza kujikanyaga kanyaga😂😂😂😂Sasa kama hauna ubongo utaelewaje? View attachment 1551227
hivi unadalili flani ya wivu roho mbaya unafki na uchawi mkuu?Mkashitaki kokote mjuako lkn SMS mmeipata na mjitafakali kama nyie ni chombo cha umma kweli au cha ccm?!
Na mlitakiwa mpigwe kabisa akili iwakae vzr
CCM bila Assistance ni hamnaSasa Kwanini hukuwashauri ccm wasifanye dhuluma, na ubakaji majimbo kwa kuwateka wapinzani, mapingamizi ya kijinga, polisi, takukuru nk, wakati CHADEMA wepesi tu?!!
Ila kutesa upinzani ni vizuri?Katika hili, Mbowe amekosea. Kama kiongozi wa chama ambacho kila wakati kinalalamikia serikali kwa 'kuminya' uhuru wa vyombo vya habari, Mbowe hakupaswa 'kuiminya' tbc kwa kuifukuza palepale mkutanoni bila hata kupata muda wa kutafakari athari za maamuzi yake. Ni mfano mbaya kwa chama kinachosema kipo tayari kushika dola na kutoa uongozi mbadala kwa nchi.
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.
TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.
Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.
Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
hivi unadalili flani ya wivu roho mbaya unafki na uchawi mkuu?Mkashitaki kokote mjuako lkn SMS mmeipata na mjitafakali kama nyie ni chombo cha umma kweli au cha ccm?!
Na mlitakiwa mpigwe kabisa akili iwakae vzr
sasa Nondo ana akili kati ya kenge kwenye msafala wa ACT Nondo n mmoja wapo😂😂😂😂[emoji3577]View attachment 1551228
Uwazalizishe!!?? Nadhani ulikua na maana uwadhalilishe. Nani kawadhalilisha?? Hizi shule za siku hizi ni shida, kiswahili nacho kinawapa shida. God forbid.Sasa ndio uwazalizishe hivyo! [emoji50]
Mngekuwa na morali hii ya kutaka mabadiliko kwenye mfumo wa elimu ingekuwa ni uzalendo uliotukuka.Hii inaitwa SASA BAAASI
Toa wembe ni toe kisu kudadeki
Tumechokaaa
Kwani walikuwa wakitangaza au walikuwa wana mpigia Jpm kampeni kwenye mkutano wa Chadema?Leo TBC wanalalamika? Leo ndio wanaona watangaze habari za wapinzani?
Huna chama kipi? Na hata hufanani kuwa na chama.Mi sina chama lkn walichofanya CHADEMA ni upuuzi, walitakiwa kuwaacha waendelee na kazi yao. Kwa tendo lile ilikuwa ni hatari kwa usalama wa vyombo vyao na wakijua watangazaji pia. TCRA wana sheria na kanuni za maudhui, TBC hawataki kuingia mgogoro wa kulipishwa faini na TCRA.
Achana na common mistake. Chukua muktadha! [emoji57]Uwazalizishe!!?? Nadhani ulikua na maana uwadhalilishe. Nani kawadhalilisha?? Hizi shule za siku hizi ni shida, kiswahili nacho kinawapa shida. God forbid.
Umeifahamu vizuri TBC na kiifuatilia vizur mkuu? Watu hawaihitaji hata kama inaendeshwa kwa kodi zao. Tuiache ionyeshe vitu inavyopenda yenyewe kwa gharama ya jasho letu watanzania.Katika hili, Mbowe amekosea. Kama kiongozi wa chama ambacho kila wakati kinalalamikia serikali kwa 'kuminya' uhuru wa vyombo vya habari, Mbowe hakupaswa 'kuiminya' tbc kwa kuifukuza palepale mkutanoni bila hata kupata muda wa kutafakari athari za maamuzi yake. Ni mfano mbaya kwa chama kinachosema kipo tayari kushika dola na kutoa uongozi mbadala kwa nchi.
Yeboyebo na Utopolo ni majina ya utani ya timu yangu Young African aka Yanga. Ingawa ni majina ya utani, ila si jambo jema kuinasibisha timu ya wananchi na hao wendawazimu wa sisiem, waliojaa dhulma. Ingekuwa vyema kuomba radhi kwa hilo.CCM (TBC) ilikwenda kufanya nini kwenye shughuli ya kitaifa...?
Wazee wa kuvizia kuteka na watu watu...miaka 5 wamezuia watu wasiongee leo eti wema sana...pambaf....komesha hao Yeboyebo!! aka Utoporo fc!!
Kubishana na ngumbaru za Lumumba ni kupoteza muda tu.jibu swali hujaelewa nini naona umeanza kujikanyaga kanyaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chomba cha uma wa kulia chakulaChombo cha umma! Labda chombo cha UMA au chombo chauma