Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa ajabu sana. Lisu amezunguka mikoa zaidi ya 16 kupata wadhamini, TBC haikuona haja ya kurusha LIVE matukio, leo katika mazingira ya kusuasua imefukuzwa, watu wanahangaika. Watu wanaangalia wanachokipenda.
pole sana najua unabweka ulipo😂😂😂😂Kubishana na ngumbaru za Lumumba ni kupoteza muda tu.
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.
TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.
Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.
Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
Acha kuchekacheka choko au unapigwa ukuni na Bashiru?pole sana najua unabweka ulipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amenasa mumewoChadema walitegwa, wamenasa
Jinga la lumumba weweMimi piah ni miongoni wa waliohuzunishwa na CHADEMA au Mbowe. Haikuwa ustaarabu wangewaacha tu. As long as na wao walikuwa na stream media yao.
Ni kufumua mfumo wote..na kuanza from the scratch.
Ww huon maendeleo aliyoleta??Magufuri ameleta maendeleo gn wee pimbi?? Madaraja ndo maendeleo??
Wewe jinga la ufipa. [emoji57]Jinga la lumumba wewe
Ficha upumbavu wako na ionyeshe hekima yako.....Mngekuwa na morali hii ya kutaka mabadiliko kwenye mfumo wa elimu ingekuwa ni uzalendo uliotukuka.
Mwambie uyo Mkuu naona anajisaulishaWe endelea kujiongopea hivi unafahamu bila ya hayo madaraja safari ya nusu 30 saa huku kijiji inaweza kuchukua masaa 3 kwa usafiri wetu; kama mtu an akimbizwa hospitali uwepo wa daraja linakuwa swala kufa na kupona. Halafu we unaona daraja halina tija, akili zenu zinawatosha wenyewe.
Waache ili iweje, habri za tunamwachia Mungu zimepitwa na wakatiMimi piah ni miongoni wa waliohuzunishwa na CHADEMA au Mbowe. Haikuwa ustaarabu wangewaacha tu. As long as na wao walikuwa na stream media yao.
Mbuzipori tu weweMimi piah ni miongoni wa waliohuzunishwa na CHADEMA au Mbowe. Haikuwa ustaarabu wangewaacha tu. As long as na wao walikuwa na stream media yao.
Nchi ishagawanywa vipande kitambo sana tu mbonaUjinga ukiendelea tutaigawana nchi