Huyu ndiye Tundu Lissu bwana. NEC, Polis, Tbc wote vilio.Tundu Lissu kweli kawashika MATAGA kunako.
TBC wanalia!
Polisi huko Twitter wanalia!
wameshikwa haswaaa!
View attachment 1551053
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndiye Tundu Lissu bwana. NEC, Polis, Tbc wote vilio.Tundu Lissu kweli kawashika MATAGA kunako.
TBC wanalia!
Polisi huko Twitter wanalia!
wameshikwa haswaaa!
View attachment 1551053
Mbowe amekonga moyo wangu. Kwanza hatuhitaji matangazo na TBC, miaka mitano yote tumrjitangaza wenyewe kwa kishindo nani kawaalika?Ahsante Mbowe, kweli wewe ni Mwamba umenifurahisha sana.
Kumbe kutengwa kunauma. Leo imekula kwao.wamevitimua vinafiki.Leo TBC wanalalamika? Leo ndio wanaona watangaze habari za wapinzani?
Hili ni fundisho kwa wanafiki woote kuwa haya ndiyo malipo yaoWatu wa ajabu sana. Lisu amezunguka mikoa zaidi ya 16 kupata wadhamini, TBC haikuona haja ya kurusha LIVE matukio, leo katika mazingira ya kusuasua imefukuzwa, watu wanahangaika. Watu wanaangalia wanachokipenda.
Naanza kuamini kuwa ukisha kuwa ndani ya ccm wewe basi hata fikra zako zinapakwa rangi ya mboga mboga tuNaam, Ryoba Ayubu kabla ya kiteuliwa kuiongoza TBC alikuwa mtu wa kuaminiwa sana. Aliandika makala nyingi sana kwenye gazeti la Rai la kipindi kile, makala zenye kukemea linalofanywa shirika analo liongoza kwa sasa, alihimiza haki, alihimiza demokrasia,.............angalia anacho kifanya sasa hivi!. Inasikitisha sana.
Ficha upumbavu wako na ionyeshe hekima yako.....
Mifumo yote ya kishenzi ikiwemo elimu inayosimamiwa na fisiemu itabadilika kwa kuwaondoa ccm kwa sanduku la kura na si vinginevyo
Ila kwasababu kuna masikini wa akili wengi kama wewe bado mnaunga juhudi za ccm yenye mfumo huo mbovu unaousemea wa elimu acha tuendelee kuisoma namba
Mlivyokuwa mnazima sauti na kuanza kuongea porojo zenu pindi wazunguzaji wanapoanza kushusha nondo mlidhani wananchi hawaoni? Ingekuwa mkutano wa ccm mngefanya hivyo?
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.
TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.
Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.
Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
News Alert: - Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa
Kwa jiwe hakuna kanuni....mpuuzi wewKanuni za uandishi wa habari unazijua?
Nawaza kwa mbali,
Ivi ndio CHADEMA wametinga IKULU KIMASIHARA TBC itaendelea kufanya kazi kama miaka yote?
Kwanini wewe usianzishe hiyo marale unategemea chadema shame on youMngekuwa na morali hii ya kutaka mabadiliko kwenye mfumo wa elimu ingekuwa ni uzalendo uliotukuka.
Kifupi tu ni kuwa mmerahisisha sana kazi ya kutowapa airtime wapinzani, sasa mtakuwa hamna sehemu ya kulalamika kwamba hamtangaziw
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.
TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.
Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.
Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
News Alert: - Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa
Tbc walienda kufanya nn?
Wao wanajua fika matamshi ya chadema ni sumu kwenye mic zao Sasa wao walienda kufanya kitu gani?