Shirika linaweza kutoa gawio (dividends) hata kama limepata hasara

chamaclotus

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,079
Reaction score
2,273
Kwema wanaJF,

Kumekuwa na watu wanasema ATCL ilipata hasara kwa hiyo haikupaswa kutoa gawio dhana ambayo sio kweli kwa kuwa gawio hutoka kwenye cash flow iliyopo kwenye shirika na sio mpaka pawe na faida kwenye financial statement.

Kama cash flow ipo gawio linatolewa vizuri tu. Tena hata kama shirika limepata hasara hukopa kulipa gawio japo hio njia ni so risk.

Nashangaa hata CAG Uttoh hajui gawio hupatikana vipi nabaki nasema hiiiiiiii
 
Kampuni au taasisi ambayo inauza hisa zake kwenye soko la hisa, inapaswa kutoa hesabu zake za mwaka kila mwaka. Katika hesabu hizi kampuni itaonesha mapato, matumizi, faida na hata hasara.

Iwapo kampuni imepata faida mwisho wa mwaka wa fedha, faida ile inapaswa kurudi kwa wanahisa wa kampuni hiyo.

Ile sehemu ya faida ya kampuni inayolipwa kwa wanahisa ndiyo inaitwa gawio. Hichi ni kipato ambacho mwekezaji anapata kutokana na uwekezaji ambao amefanya.

Kupata gawio, hakupunguzi chochote kwenye hisa za mwekezaji, badala yake anakuwa amepata faida, huku hisa zake zikiendelea kuwa kama zilivyokuwa. Hivyo hata kama atapokea gawio kila mwaka kwa miaka mitano, akija kuamua kuuza hisa zake atapata thamani ya zile hisa.
 
Wanaweza kutoa interim na baadae final dividend. Interim sawa ila final hapana. Inerim inatolewa kabla ya mahesabu kufungwa.
Final Dividend zinatolewa kwenye faida baada ya kodi. Sasa kama ni hasara utatoa wapi?
Dividends are paid from cash flow, not earnings
 
kwema wanajf,
kumekuwa na watu wanasema ATCL ilipata hasara kwa hiyo haikupaswa kutoa gawio dhana ambayo sio kweli kwa kuwa gawio hutoka kwenye cash flow iliyopo kwenye shirika na sio mpaka pawe na faida kwenye financial statement. kama cash flow ipo gawio linatolewa vizuri tu. Tena hata kama shirika limepata hasara hukopa kulipa gawio japo hio njia ni so risk. Nashangaa hata CAG Uttoh hajui gawio hupatikana vipi nabaki nasema hiiiiiiii
Inabidi utiwe dole skuli upya!!!! ipo shule unguja inaitwa dole inabidi ukarudie masomo manake ukituambia ATCL inayo cash flow ya kulipa dividend ndio unatukoroga kabisa kwa biashara hipi waliofanya zaidi ya kubeba viongozi na tripu mbili za kuamisha watu waliokuwa quarantine?

Mmetumia mabavu kuua fast jet ili nyie watu wa propaganda mfiche aibu yenu na utawala wenu. Utawala ulikuwa wa kiimra sasa watu wanapata nafasi ya kutoa nyongo mnaanza tena. Midege mmeipaki inaoza mkatumia sanaa kusema ni ya serikali na ATCL sasa wamelipa lini gharama za ukodishwaji ili wabaki na cash flow ya kulipa gawiwo. Tena afadhali kasema Utoh kawawekea na tafsida
 
Wafuasi wa mwendazake mna mambo sana....

Hadi mnaanza kudhani kuwa jopo la wahasibu (wakaguzi) wenye CPA waliojaa ofisi ya NAOT hawajui mambo ya gawio! Walifaulu vipi CPA zao?

Ungeweza kuleta mada yako kivingine
 
Kampuni au taasisi ambayo inauza hisa zake kwenye soko la hisa, inapaswa kutoa hesabu zake za mwaka kila mwaka. Katika hesabu hizi kampuni itaonesha mapato, matumizi, faida na hata hasara.

Iwapo kampuni imepata faida mwisho wa mwaka wa fedha, faida ile inapaswa kurudi kwa wanahisa wa kampuni hiyo.

Ile sehemu ya faida ya kampuni inayolipwa kwa wanahisa ndiyo inaitwa gawio. Hichi ni kipato ambacho mwekezaji anapata kutokana na uwekezaji ambao amefanya.

Kupata gawio, hakupunguzi chochote kwenye hisa za mwekezaji, badala yake anakuwa amepata faida, huku hisa zake zikiendelea kuwa kama zilivyokuwa. Hivyo hata kama atapokea gawio kila mwaka kwa miaka mitano, akija kuamua kuuza hisa zake atapata thamani ya zile hisa.
hata wakipata hasara ila wakawa na cashflow nzuri wanalipa pia wanaweza kulipa toka kwenye assets au kukopa benki
 
dividend is a distribution of profits by a corporation to its shareholders.[1] When a corporation earns a profit or surplus, it is able to pay a proportion of the profit as a dividend to shareholders. Any amount not distributed is taken to be re-invested in the business (called retained earnings). The current year profit as well as the retained earnings of previous years are available for distribution; a corporation is usually prohibited from paying a dividend out of its capital. Distribution to shareholders may be in cash (usually a deposit into a bank account) or, if the corporation has a dividend reinvestment plan, the amount can be paid by the issue of further shares or by share repurchase. In some cases, the distribution may be of assets.
 
Inabidi utiwe dole skuli upya!!!! ipo shule unguja inaitwa dole inabidi ukarudie masomo manake ukituambia ATCL inayo cash flow ya kulipa dividend ndio unatukoroga kabisa kwa biashara hipi waliofanya zaidi ya kubeba viongozi na tripu mbili za kuamisha watu waliokuwa quarantine???????
mmetumia mabavu kuua fast jet ili nyie watu wa propaganda mfiche aibu yenu na utawala wenu. Utawala ulikuwa wa kiimra sasa watu wanapata nafasi ya kutoa nyongo mnaanza tena. Midege mmeipaki inaoza mkatumia sanaa kusema ni ya serikali na ATCL sasa wamelipa lini gharama za ukodishwaji ili wabaki na cash flow ya kulipa gawiwo. Tena afadhali kasema Utoh kawawekea na tafsida
kutoa gawio sio mpaka uwe na profit acha kukariri
 
Dividends are paid from cash flow, not earnings

Sio kweli Net profit ndiyo unaweza kutoa dividends ambayo wanaita dividends payout ratio na retained earnings ambayo inabaki kwenye kampuni. Hivyo ni lazima upate faida kwanza! Ukipata hasara hautakiwa na net profit hivyo huwezi kutoa dividends. Vilevile ni ajabu kulipa dividends wakati kampuni inakuwa hata ukipata faida kampuni zina retained money for development kama kununu ndege, vifaa , technology na kuongeza wafanyakazi
 
kwema wanajf,
kumekuwa na watu wanasema ATCL ilipata hasara kwa hiyo haikupaswa kutoa gawio dhana ambayo sio kweli kwa kuwa gawio hutoka kwenye cash flow iliyopo kwenye shirika na sio mpaka pawe na faida kwenye financial statement. kama cash flow ipo gawio linatolewa vizuri tu. Tena hata kama shirika limepata hasara hukopa kulipa gawio japo hio njia ni so risk. Nashangaa hata CAG Uttoh hajui gawio hupatikana vipi nabaki nasema hiiiiiiii
Inabidi utiwe dole skuli upya!!!! ipo shule unguja inaitwa dole inabidi ukarudie masomo manake ukituambia ATCL inayo cash flow ya kulipa dividend ndio unatukoroga kabisa kwa biashara ipi waliofanya zaidi ya kubeba viongozi na tripu mbili za kuamisha watu waliokuwa quarantine???????
mmetumia mabavu kuua fast jet ili nyie watu wa propaganda mfiche aibu yenu na utawala wenu.

Utawala ulikuwa wa kiimra sasa watu wanapata nafasi ya kutoa nyongo mnaanza tena. Midege mmeipaki inaoza mkatumia sanaa kusema ni ya serikali na ATCL sasa wamelipa lini gharama za ukodishwaji ili wabaki na cash flow ya kulipa gawiwo.

Tena afadhali kasema Utoh kawawekea na tafsida, serikali aifanyi biashara inanunuaje midege cormacial???? kwenye majukwaa mnasema ATCL imepewa midege ifufuke
 
dividend is a distribution of profits by a corporation to its shareholders.[1] When a corporation earns a profit or surplus, it is able to pay a proportion of the profit as a dividend to shareholders. Any amount not distributed is taken to be re-invested in the business (called retained earnings). The current year profit as well as the retained earnings of previous years are available for distribution; a corporation is usually prohibited from paying a dividend out of its capital. Distribution to shareholders may be in cash (usually a deposit into a bank account) or, if the corporation has a dividend reinvestment plan, the amount can be paid by the issue of further shares or by share repurchase. In some cases, the distribution may be of assets.
nadhani umepata jibu hapo mwisho
 
kwema wanajf,
kumekuwa na watu wanasema ATCL ilipata hasara kwa hiyo haikupaswa kutoa gawio dhana ambayo sio kweli kwa kuwa gawio hutoka kwenye cash flow iliyopo kwenye shirika na sio mpaka pawe na faida kwenye financial statement. kama cash flow ipo gawio linatolewa vizuri tu. Tena hata kama shirika limepata hasara hukopa kulipa gawio japo hio njia ni so risk. Nashangaa hata CAG Uttoh hajui gawio hupatikana vipi nabaki nasema hiiiiiiii
Acha uongo wa mchana kweupe!

Gawio hutolewa kutoka kwenye faida ya kampuni baada ya kuidhinishwa na bodi na si vinginevyo.

Hicho unachokisema wewe kinaweza kutokea kwenye jamhuri ya banana tu. Huko kwenye jamhuri zingine hakuna kitu kama hicho!

Ni wajinga tu wanaoweza kuamini huu uongo wako na ujinga wako!
 
kwema wanajf,
kumekuwa na watu wanasema ATCL ilipata hasara kwa hiyo haikupaswa kutoa gawio dhana ambayo sio kweli kwa kuwa gawio hutoka kwenye cash flow iliyopo kwenye shirika na sio mpaka pawe na faida kwenye financial statement. kama cash flow ipo gawio linatolewa vizuri tu. Tena hata kama shirika limepata hasara hukopa kulipa gawio japo hio njia ni so risk. Nashangaa hata CAG Uttoh hajui gawio hupatikana vipi nabaki nasema hiiiiiiii

Sasa tukusikilize wewe buku7 wa Lumumba au tumsikilize profesa na mtaalamu wa uchumi na fedha?
 
Sio kweli Net profit ndiyo unaweza kutoa dividends ambayo wanaita dividends payout ratio na retained earnings ambayo inabaki kwenye kampuni. Hivyo ni lazima upate faida kwanza! Ukipata hasara hautakiwa na net profit hivyo huwezi kutoa dividends. Vilevile ni ajabu kulipa dividends wakati kampuni inakuwa hata ukipata faida kampuni zina retained money for development kama kununu ndege, vifaa , technology na kuongeza wafanyakazi
umekariri mkuu sio mpaka kuwe na profit
 
kutoa gawio sio mpaka uwe na profit acha kukariri
Magu alisema shirika lina faida wewe unatuambia halina faida...
Screenshot_20210328-145853.jpg
 
Sasa tukusikilize wewe buku7 wa Lumumba au tumsikilize profesa na mtaalamu wa uchumi na fedha?
A company might record a net loss on its income statement while remaining cash flow positive. Look at the cash flow statement for free cash flow (operating cash flow minus capital expenditures). Cash flows determine the sustainability of dividends.
 
Back
Top Bottom