Shirika linaweza kutoa gawio (dividends) hata kama limepata hasara

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wafuasi wa mwendazake mna mambo sana....

Hadi mnaanza kudhani kuwa jopo la wahasibu (wakaguzi) wenye CPA waliojaa ofisi ya NAOT hawajui mambo ya gawio! Walifaulu vipi CPA zao?

Ungeweza kuleta mada yako kivingine
 
A Company can pay out dividend from other sources. It all falls on discretion of board members. A single year loss on financial statement can not limit dividend policy to fufill obligations to its shareholders.

1. Retained earnings
2. General reserves.

Note: ATCL is not the basis of my opinion.
 
Kwema wanaJF,

Kumekuwa na watu wanasema ATCL ilipata hasara kwa hiyo haikupaswa kutoa gawio dhana ambayo sio kweli kwa kuwa gawio hutoka kwenye cash flow iliyopo kwenye shirika na sio mpaka pawe na faida kwenye financial statement.

Kama cash flow ipo gawio linatolewa vizuri tu. Tena hata kama shirika limepata hasara hukopa kulipa gawio japo hio njia ni so risk.

Nashangaa hata CAG Uttoh hajui gawio hupatikana vipi nabaki nasema hiiiiiiii

Luis Uttoh apumzike tu. Wala msimsikilize kwa kuwa huwa hana kauli thabiti ya kiuhasibu.

Mwaka 2014 kwenye uchunguzi wa fedha za ESCROW alishindwa kusema hela ni za TANESCO au ni za IPTL.

Dividend ni kile kwenye kampuni mnachogawana baada ya (1) Kupata faida, (2) Kulipa kodi na (3) Kurudisha kwenye mtaji.

Bado anataka apate "favours za Serikali". TUMPUUZE
 
Kwema wanaJF,

Kumekuwa na watu wanasema ATCL ilipata hasara kwa hiyo haikupaswa kutoa gawio dhana ambayo sio kweli kwa kuwa gawio hutoka kwenye cash flow iliyopo kwenye shirika na sio mpaka pawe na faida kwenye financial statement.

Kama cash flow ipo gawio linatolewa vizuri tu. Tena hata kama shirika limepata hasara hukopa kulipa gawio japo hio njia ni so risk.

Nashangaa hata CAG Uttoh hajui gawio hupatikana vipi nabaki nasema hiiiiiiii
Kiongozi Akiagiza linatoa mbona Bunge na Udsm walitoa wakati hawafanyi Biashara
 
Acha uongo wa mchana kweupe!

Gawio hutolewa kutoka kwenye faida ya kampuni baada ya kuidhinishwa na bodi na si vinginevyo.

Hicho unachokisema wewe kinaweza kutokea kwenye jamhuri ya banana tu. Huko kwenye jamhuri zingine hakuna kitu kama hicho!

Ni wajinga tu wanaoweza kuamini huu uongo wako na ujinga wako!
King Bill umepiga vizuri, huo ndiyo uhasibu ninaoufahamu. Hao wanaogawana dividend wakiwa na loss "wanatakatisha fedha"
 
Huyu mtoa mada mbishi hataree yeye mwenyewe ameukubali mfano alioletewa na P" kilichotolewa pale sio gawio ni maduhuli na ameambiwa kabisa maduhuli kutoa ni lazima kila mwaka ni 15% uwe umepata faida au hasara ni lazima utoe sasa sijui mtoa mada anakwama wapi?
 
kutoa gawio sio mpaka uwe na profit acha kukariri
Gawio linalipwa kutokana na faRaida iliyopatokana.
Huwezi kufanya biashara alafu ujapata hasara ukalipa gawio,hiyo haiwekani,kwa maana nyingine utakuwa unakula mtaji na si gawio.
 
Kwema wanaJF,

Kumekuwa na watu wanasema ATCL ilipata hasara kwa hiyo haikupaswa kutoa gawio dhana ambayo sio kweli kwa kuwa gawio hutoka kwenye cash flow iliyopo kwenye shirika na sio mpaka pawe na faida kwenye financial statement.

Kama cash flow ipo gawio linatolewa vizuri tu. Tena hata kama shirika limepata hasara hukopa kulipa gawio japo hio njia ni so risk.

Nashangaa hata CAG Uttoh hajui gawio hupatikana vipi nabaki nasema hiiiiiiii
Wewe unawauliza Quora? Wale si lazima wawe wajuzi. Ni watoa maoni kama wewe. Huwa wanakosea. Hata hivyo huyo aliyekujibu alimaanisha kuwa unaweza kulipa dividend ikiwa mwaka huo mmoja ndio wenye hasara huku miaka mingine ina pesa nzuri, na akatahadharisha kuwa kulipa divident huku una hasara kote kwa kukopa ni hatari sana kwa kampuni. Hukuelewa Kiingereza chake?
 
Back
Top Bottom